Karibuni mabingwa wa kuchapia utupe mchapio wako

Karibuni mabingwa wa kuchapia utupe mchapio wako

Mohammed Said alishawahi kuandika "Chuo Kikuu cha ....University" nikaangalia nikacheka sana.

Kuna mwingine alikuwa na thread inayoongelea "ex boyfriends wa zamani".
 
Mkuki kwa mchungu,kwa binadamu nguruwe.
 
Hii michapio naikumbuka tangu nikiwa Chuo Kikuu na mingine imepigwa hivi karibuni.

Mbezi Mbichi - Mbezi Beach
Mambusho - Makumbusho
Twanga Pepepa - Twanga Pepeta
Kwato - Kwaito
Elfu Mbali - Elfu Mbili
YouChube - YouTube
Housing ya Miwani - Fremu ya Miwani
January Makwamba - January Makamba
Wema Shepetu - Wema Sepetu
Samba na Yanga - Simba na Yanga
Agari ya jali - Ajali ya Gari
Shuti - Suti
Maza Hauti - Mother House
Agali ya jali
 
Unanikumbusha mwalimu wetu alitukana class sasa ile tumemmind akasema "SAMAHANINI ULIMI HAUNA MFAPA" asee tulicheka basi akajitetea tena "JAMANI NIMECHAPIA KITOJO" [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
1》Singa na Yamba wanacheza Leo
Simba na yanga wanacheza leo

2》kaka nimepata ndili
Kaka nimepata dili
 
"Mama mabakulu yao yamejaa mboga"
akimaanisha "mama mabakuli yao yamejaa mboga" siku hiyo niilicheka sana
 
Back
Top Bottom