Karibuni Machame wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro tusherehekee ushindi wa kukomboa mali yetu

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati.

Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame.

Christmass hii itakuwa bomba sana.
 
Karibu sana, tunaangusha mbuzi 70, ng'ombe 15 ni nyama choma tu
Nipo njiani nakuja kuwa-join Wakuu

Haiwezekani muangushe Mbuzi 70 na ng'ombe 15 Kwa michango yetu halafu sisi makamanda tusile 🤗
 
Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati.

Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame.

Christmass hii itakuwa bomba sana.
Sema kweli!
 
Back
Top Bottom