Karibuni mniletee mazoezi yote ya kukata tumbo(sixpack)

hhahahahah mie hyo roller nimeishindwa !
mdogo mdogo tu utaweza unaweza kuanza hata na mojabkwa siku then una advance kadri mwili unavyofunguka
ila katika uondoaji wa tumbo na belly Diet inahusika kwa 80℅ na mazoezi ni 20℅
Nina dogo nakaa naye hapa jirani yeye hafanyi mazoezi ila ana six pack natural kutokana na kazi ngumu na mlo wa kimaskini anaoupata
 
duh haya ..nataka hadi april kiwe kushiney
 
Kama utaweza kupunguza matumizi ya wanga na sukari kwa zaidi ya asilimia 80 au kuyaondoa kabisa katika maisha yako plus mazoezi ya kutosha, hakika lengo utalifikia hata kabla ya hapo,
Changamoto kubwa ipo katika kumaintain maana sisi waafrika wanga unachukua sehemu kubwa ya mlo,
 
yaan hapo ndo mtihan aise
 
Back
Top Bottom