MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
MBITIYAZA au FISI MWEKUNDU njoo kwangu nikusaidie kukata hayo mafuta!!
naam nipo hapa!nipe maujuzi ila sio kuniambia nikache msosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBITIYAZA au FISI MWEKUNDU njoo kwangu nikusaidie kukata hayo mafuta!!
Si kweli, jiranivyanguvhapa anapiga roller kama 300 kila jioni na bado ana kitambi kama mimba ya miezi 7tumia roller, ukipiga 50 kwa siku wiki mbili tuu sixpack hizi hapa!!!
Si kweli, jiranivyanguvhapa anapiga roller kama 300 kila jioni na bado ana kitambi kama mimba ya miezi 7
mdogo mdogo tu utaweza unaweza kuanza hata na mojabkwa siku then una advance kadri mwili unavyofungukahhahahahah mie hyo roller nimeishindwa !
Duh!hzzzhhhaaah ni kweli...mie km mjamzito,,
mdogo mdogo tu utaweza unaweza kuanza hata na mojabkwa siku then una advance kadri mwili unavyofunguka
ila katika uondoaji wa tumbo na belly Diet inahusika kwa 80℅ na mazoezi ni 20℅
Nina dogo nakaa naye hapa jirani yeye hafanyi mazoezi ila ana six pack natural kutokana na kazi ngumu na mlo wa kimaskini anaoupata
...mie km mjamzito,,
Kama utaweza kupunguza matumizi ya wanga na sukari kwa zaidi ya asilimia 80 au kuyaondoa kabisa katika maisha yako plus mazoezi ya kutosha, hakika lengo utalifikia hata kabla ya hapo,duh haya ..nataka hadi april kiwe kushiney
Kama utaweza kupunguza matumizi ya wanga na sukari kwa zaidi ya asilimia 80 au kuyaondoa kabisa katika maisha yako plus mazoezi ya kutosha, hakika lengo utalifikia hata kabla ya hapo,
Changamoto kubwa ipo katika kumaintain maana sisi waafrika wanga unachukua sehemu kubwa ya mlo,
Ila cha msingi tuanze na hatua ya kwanza ya kukiondoa, hilo suala la maintainance ni la baadae.yaan hapo ndo mtihan aise
Ila cha msingi tuanze na hatua ya kwanza ya kukiondoa, hilo suala la maintainance ni la baadae.
One step at a time.
Nitaifanyia kazi.
Poa poa, see u in April 1,nipo tayari...
Poa poa, see u in April 1,
I hope utatutumia na picha hapa ya kuonyesha mafanikio[emoji12]
Poa poa ngoja niscreenshoot hii ahadi, nikaiprint kabisa niwe na hardcopy ili siku ya siku niwe na vielelezo vya kutosha vya kudai picha ulizoahidihhahah not 1.4,,its 26.4!ntatuma before n after
Poa poa ngoja niscreenshoot hii ahadi, nikaiprint kabisa niwe na hardcopy ili siku ya siku niwe na vielelezo vya kutosha vya kudai picha ulizoahidi
Sisi watu wa nyikani huwa hatuamini vitu vilivyotunzwa hewani(Servers), sisi tunataka kitu concrete hapo hamna udukuzihaaaa kweli upo nyikani
Poa poa ngoja niscreenshoot hii ahadi, nikaiprint kabisa niwe na hardcopy ili siku ya siku niwe na vielelezo vya kutosha vya kudai picha ulizoahidi
Sisi watu wa nyikani huwa hatuamini vitu vilivyotunzwa hewani(Servers), sisi tunataka kitu concrete hapo hamna udukuzi