TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Sijakusoma mkuu...Fanya vitu vya maana, achana na vitu vya kijinga! ihamishie Breweries Nyumbani.
Asante mkuu wazo zuri sana, natakiwa kutenga kiasi gani maana hela unapoipata ni lazima akili kwanza ikae sawa ndio upange matumiziNenda dubai kwa wiki tatu kapymzike kwanza .then unaingia amerika kula maisha maana ukikosa fursa hii hutoweza tena kusafiri bora ukatoe uahamba kwqnza huko nje
Milioni 15 hivi inatoasha kwa makamuziAsante mkuu wazo zuri sana,natakiwa kutenga kiasi gani maana hela unapoipata ni lazima akili kwanza ikae sawa ndio upange matumizi
Asante mkuu kwa wazo muruwa..!Mkuu kwa mtaji wa milioni 100 Forexi na bitcoins kuingiza milioni 10 kwa wiki ni kama unamsukuma mlevi🤣🤸🐒
Angalizo : Kaa mbali na biashara za kudanlodi pesa !
Kaa mbali na huko ndugu yangu utafunguliwa faili milembe...bora ufanye kilimo uanze na mtaji mdogo na ufanye mwenyewe sio kilimo cha simu, upo mjini unawapigia vijana utalia!asante mkuu kwa wazo muruwa..!
Asante mkuu..!Tafuta shamba pembezoni mwa Jiji la Daresalaam.
Hasa upande wa Kongowe, Vikindu, mwasonga ambapo ni karibu na Jiji la Dar. Au Msanga Kisarawe...
Jiji la Dar linakua kwa kasi sana, ukiamua kifuga Nguruwe au Mbuzi au kuku ktk Shamba la Ekari 10 hadi 30, ni uwekezaji mkubwa sana.Asante mkuu..!
AiseeTafuta shamba pembezoni mwa Jiji la Daresalaam.
Hasa upande wa Kongowe, Vikindu, mwasonga ambapo ni karibu na Jiji la Dar. Au Msanga Kisarawe....
Mi natafuta Ekari 5 tu, pembezoni mwa Jiji la Dar.Aisee
Kila la kheri mkuu.Mi natafuta Ekari 5 tu, pembezoni mwa Jiji la Dar.
Nikizipata najihesabia millionea.
Sigara Club Temeke Chang'ombe pana Ekari Nne tu.
Kuna viwanja viwili vya footbal, kimoja cha Basketball na ukumbi wa starehe.
Wajuzi mmenielewa.
Hapana tunaoneshana fulsa tu.Kila la kheri mkuu.
Kama hujajua ,nenda NMB au bank ya posta kaulize bei ya fixed deposit.Tupia huko wakati unapata akili nini cha kufanya.Fanya vitu vya maana,achana na vitu vya kijinga! ihamishie Breweries Nyumbani.
Hizo trip mbili za Dubai na mastates ukienda ukirudi,utabaki na chenji ya shilingi 120,000. itatosha kununua sub-woofer,uanze kupigisha disco toto hapo uwani kwako,hutakosa kuokoteza miambili miambili ambazo si haba.Asante mkuu wazo zuri sana,natakiwa kutenga kiasi gani maana hela unapoipata ni lazima akili kwanza ikae sawa ndio upange matumizi