mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
chukua asilimia KUMI ya hiyo pesa peleka Katoe fungu LA KUMI...then mshirikishe MUNGU katka wazo ulilokuwa nalo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapa kwa trader aliyeiva na alie tayari kujilipua kwa lotsize za kibabe kwa hiyo 100 anaweza kukunja 5mil kwa siku bila stress ya aina yoyote.Mkuu kwa mtaji wa milioni 100 Forexi na bitcoins kuingiza milioni 10 kwa wiki ni kama unamsukuma mlevi🤣🤸🐒
Angalizo : Kaa mbali na biashara za kudanlodi pesa !
Mi natafuta Ekari 5 tu, pembezoni mwa Jiji la Dar.
Nikizipata najihesabia millionea.
Sigara Club Temeke Chang'ombe pana Ekari Nne tu.
Kuna viwanja viwili vya footbal, kimoja cha Basketball, kimoja cha Netball na ukumbi wa starehe.
Wajuzi mmenielewa.
Kwakuwa hakuna majukwaa viwanja viwili vya football vinachukua eneo la Ekari mbili na nusu.Bado aisee, hebu elezea vizuri. Hivyo viwanja vya michezo ndio umeniacha
Mkuu kwa mtaji wa milioni 100 Forexi na bitcoins kuingiza milioni 10 kwa wiki ni kama unamsukuma mlevi🤣🤸🐒
Angalizo : Kaa mbali na biashara za kudanlodi pesa !
Unaambiwa huko unaingiza pesa huku unasoma magazeti na kunywa kahawa, wanasema hela ndio inakufanyia kazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 una hatari Mkuu usimchuuze huyu mwenzetu akauvaa huu mkenge wa Bitcoin/Cryptocurrency.
Unaambiwa huko unaingiza pesa huku unasoma magazeti na kunywa kahawa, wanasema hela ndio inakufanyia kazi🤣
Tafuta shamba pembezoni mwa Jiji la Daresalaam.
Hasa upande wa Kongowe, Vikindu, mwasonga ambapo ni karibu na Jiji la Dar. Au Msanga Kisarawe.
Hapo hukosi ekari 10-20, kwa Tsh, 50m.
Then wekeza hapo.
Au liache baada ya miaka miwili unaliuza 150m.
10m fukia Mashimo.
40 weka Benki utafakari cha kufanya.
NB
Shamba nunua kwa Serikari ya Kijiji. Sio kwa mtu.
Hata kama utalipata kwa mtu binafsi, ktk manunuzi washirikishe viongozi wote wa kijiji.Msanga kuna mashamba ya kununua toka kwa vijiji??Bei ikoje???
Njoo huku toroka uje tuyajenge MkuuHabari wadau!
Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini.
Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu sijajua cha kufanya. Nipeni wazo niifanyie nini?
Kwakuwa hakuna majukwaa viwanja viwili vya football vinachukua eneo la Ekari mbili na nusu.
Nusu Ekari inatosha kiwanja cha Basketball na Netball.
Jumla ni Ekari tatu.
Ekari moja ni ukumbi wa starehe na majiko ya nyamachoma, wali, ugali
nk.
Kumbuka Ekari moja ni eneo la mita 70 × 70. 4,900m
Kiwanja cha mpira kimoja ni mita 50 × 100= 5000m
Nusu Ekari ni 2,450m
Jumla ni eneo la mita za mraba 12350
Ekari Tano zina jumla ya eneo la mraba 4900 × 5 = 24500. Na chenji inabaki.
Nipo Bar tunazundua Bia ya Henken, masahihisho yanakaribishwa.
hahahahahahaFanya vitu vya maana, achana na vitu vya kijinga! Ihamishie Breweries Nyumbani.
Ndio Mkuu, michezo una kusanya watu wengi.Kwahiyo plan ni kujenga viwanja vya michezo?