OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #41
Forward ya Yanga ni wazito kwasababu wameshiba matikiti..Hawezi kushinda hata Kibada OneFoward ya Yanga machachari,foward ya Simba hatari
Kumbe ulikuwa unafatilia ? Wivu ukizidi sana....uzaa husuda.Kufunga hawawezi mpaka wazadiwe penati
Mnafoward butu mkuu; ukweli usemwe.Kumbe ulikuwa unafatilia ? Wivu ukizidi sana....uzaa husuda.
Maisha yanenda kwa kasi sanaVyura mwakani mnashuka daraja, yaani mnabebwa hata mechi ya kirafiki? Mchezaji kaficha mkono nyuma halafu mwamuzi anawapa..! penalti[emoji23]
Kocha Zahera kaanza lawama mapemaaaMaisha yanenda kwa kasi sana
Kutoka kushinda 10_1 hadi kuzawadiwa penat
Kariobangi nguvu moya.
Eti eeh?Hakuna cha utaifa wala uzalendo. Wachezee tu kama walivyochezea Sportspesa
Sina uhakika juu ya hilo ninachojua mimi jana tulikuwa tunataka kuona kama msimu huu mtajitahidi tahidi kidogo kutoa ushindani kwetu au ni yale yale, na nilichokiona ni kuwa ni yale yale tu ubingwa huo msimbazi kwa mara nyingine tena.Mtani nina uhakika 100% ya Mikia mlikuwa busy na siku ya wananchi.
Huo ndio uhakika sasa Mtani sababu na wenzio nao walikuwa na mawazo kama hayo yako tu. ππSina uhakika juu ya hilo ninachojua mimi jana tulikuwa tunataka kuona kama msimu huu mtajitahidi tahidi kidogo kutoa ushindani kwetu au ni yale yale, na nilichokiona ni kuwa ni yale yale tu ubingwa huo msimbazi kwa mara nyingine tena.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Safari hii hautazungumza tutahakikisha tunaushona huo mdomo wake, hatutaki utani wana msimbazi.Huo ndio uhakika sasa Mtani sababu na wenzio nao walikuwa na mawazo kama hayo yako tu. ππ
Muda utazungumza Mtani.
Haya bana Mtani. ππSafari hii hautazungumza tutahakikisha tunaushona huo mdomo wake, hatutaki utani wana msimbazi.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020