Karibuni sana Kariobangi Sharks, mjipigie Yanga goli 2 tu

Karibuni sana Kariobangi Sharks, mjipigie Yanga goli 2 tu

Kocha kaanza kulalamika eti wachezaji wazito.Mmoja Sadney aliyekataliwa na Simba amesema ni lazima apunguze kilo 4.Walivyomsajili hawakuona kitambi?Huu ni mwanzo tu tutasikia mengi kutoka kwa huyu mhamasishaji.
 
Kasema wachezaji wana viitambi.Kwani walipokuwa Moro hakuwaona?.Debe tupu hilo.Amekiri waliamua kucheza na timu ndogo ili wapenzi wapate moyo wa kuja uwanjani.
 
Mtani nina uhakika 100% ya Mikia mlikuwa busy na siku ya wananchi.
Sina uhakika juu ya hilo ninachojua mimi jana tulikuwa tunataka kuona kama msimu huu mtajitahidi tahidi kidogo kutoa ushindani kwetu au ni yale yale, na nilichokiona ni kuwa ni yale yale tu ubingwa huo msimbazi kwa mara nyingine tena.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Huo ndio uhakika sasa Mtani sababu na wenzio nao walikuwa na mawazo kama hayo yako tu. 😀😀

Muda utazungumza Mtani.
 
Huo ndio uhakika sasa Mtani sababu na wenzio nao walikuwa na mawazo kama hayo yako tu. 😀😀
Muda utazungumza Mtani.
Safari hii hautazungumza tutahakikisha tunaushona huo mdomo wake, hatutaki utani wana msimbazi.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
 
Back
Top Bottom