🤣🤣🤣Huniamini !?#umesoma kweli 😃😃😃
🤣🤣🤣Tulia wewee,watu tupo na haraka 🥴#mkuu umereplay kama akili mnemba 😃😃 uko vizuri
Weka bei na picha mkuu ,mwenyewe kwa hii hela niliyokopa lazima ka nyumba kangu ka matope niweke madirisha na mlango wa kiooNatumai mko poa kabisa
PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM
_natengeneza madirisha ya alluminiu
_milango ya alluminium & viooo
_partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali
_vioo vya saloon kike na kiume
_kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika
KUNA OFA KUBWA SANA KAMA UTATENGENEZA KIPINDI HIKI KARIBU NA MWISHO WAMWAKA
_napatikana dareslam kigamboni (popote ulipo unafikiwa hata ukiwa mkoani)
Contact_0686141321
"PENDEZESHA NYUMBA YAKO"
...hiyo akili mnembe sounds like akili kinembe!!#mkuu umereplay kama akili mnemba 😃😃 uko vizuri
Hongera Sana aiseeWeka bei na picha mkuu ,mwenyewe kwa hii hela niliyokopa lazima ka nyumba kangu ka matope niweke madirisha na mlango wa kioo
Ahsante dada ,ukifika mbalizi uniambie tupate hata kasupu ka kongoro .Hongera Sana aisee
Mambo gani na uko online ? Embu weka bei na picha Mimi nanunuaNilikua nataka nifanye hivyo ila mambo yameingiliana
Weekend ijayo nakutafuta aisee...Ahsante dada ,ukifika mbalizi uniambie tupate hata kasupu ka kongoro .
Watu wanajiita black walikuja huku kutafuta watu wa kukopa kigezo uwe na uwanja na mdhamini ,Basi mwenzako nikakopa hela nzuri kidogo ila Kuna kigezo wamekosea yaani wanenikosea hivyo sitawalipa nimetunza Kama milioni kadhaa ambazo nitazitumia kufungulia kesi walianza kunigasi .
Hivyo dada nitafute tule Raha kidogo ,nimeokota hela za bure kabisa sasa