Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu usijali tutanunua tu hayo ,Wala sio bei kubwa Sasa hela zipo ,brac wametema waifuDirisha moja laki 6 mbona ghali sana.....
Ofisi nzuri ila Mtu uso wa zombie.
Upo wapi kiongozi nahitaji wenye kiooHuo wenyeww ni alluminium __kama huo ni 250,000
Dah unaturingishia maokoto, ntumie basi na mie nijidai nayo 😹Mke wangu usijali tutanunua tu hayo ,Wala sio bei kubwa Sasa hela zipo ,brac wametema waifu
Haichekeshi. Wala haifurahishi. Sanasana unaonesha una upungufu kwenye ubongoWeka bei na picha mkuu ,mwenyewe kwa hii hela niliyokopa lazima ka nyumba kangu ka matope niweke madirisha na mlango wa kioo