- Thread starter
- #21
Mbona maji meusi hivyo!!
Wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona maji meusi hivyo!!
Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni
kweli we unapenda fujo 🤣Alingoja mvua zijaze pool😂
Mm mdau sana wa kuogelea, Siku nyingine tangazo liwe la kueleweka
Kudiba shingapi
...acha maneno ya kihuni kwenye matangazo ya biashara...swimming pool ya kibabe watu wanakunya humo humo au... ?Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni
KuogeleaNdio kufanyeje huko?
Sasahivi Wazungu wakija bongo hawaogi KABISA kwenye pool zetu, labda baharini tuTangu nione watu wakibanduana kwenye pool....na mikojo wanaimwaga humo HUWA SINA HAMU KABISA!
Tena huwa sina aman hasa nikikumbuka tabia za watu weusi za kutojali na kutokuwa waaminifu ( Yaani namaanisha anaepewa kazi ya kuweka dawa maji, haweki bali anaiba ili akauze ),
Hili huwa linatia mashaka sana kutumia pool!
Nimenunua Yale mapool ya watoto najazaga maji najiloweka na mtambi wangu kwa roho saafi!
Kwenda kwenye pool hadi nijiridhishe usafi na usimamizi kama ni mathubuti
...acha maneno ya kihuni kwenye matangazo ya biashara...swimming pool ya kibabe watu wanakunya humo humo au... ?
Kuogelea
hiyo bei kwa siku nzima au!Elfu 5 mtoto na mkubwa elfu 10
Kuna huduma gani nyingine hapoElfu 5 mtoto na mkubwa elfu 10
hiyo bei kwa siku nzima au!
Kuna huduma gani nyingine hapo
Kuna huduma gani nyingine hapo
Safi,Tangazo ndo linatakiwa liwe hiviFamily n' Fun
[emoji338]Phone: 0769384838
@fhopeswimmingpool@gmail.com
Drink Swim. Eat. Parties.. wedding.. all kinds of Gathering
[emoji3581]Drinks [emoji482][emoji1634][emoji3047][emoji485]
[emoji3581] Luxury Swimming Pool
[emoji3581]Best Food Restaurant
[emoji3581] BBQ - Kisinia
[emoji3581]Big TV Screens[emoji342][emoji460]️
[emoji3581]Best Music [emoji442][emoji442][emoji344][emoji344][emoji444]
[emoji3581]Kids Pool [emoji2254] - Games
KUINGIA NI BUREEE
Kuogelea watoto elfu 5000/-
Kuogelea wakubwa elfu 10,000/-
MUDA WA KAZI: Kila siku Kuanzia saa 4 asubuhi 10:00 am Mpaka usiku 05:00
Watoto mwisho kuogelea saa 2 USIKU*
Watu wazima mwisho kuogelea saa 5 usiku
---Nguo ni swimming costume zinazoruhusiwa ndani ya Pool SIO ZA COTTON--
KUJIFUNZA KUOGELEA: Kila Siku
Full Package - 100,000/= kwa siku 10
Basic Swimming Skills - 50,000/= kwa siku 5
Tuko Kigamboni, Mbele ya Geza kituo kinaitwa Kwa PAZI kabla haujafika maghorofa ya DEGE upande wako wa Kulia utaona Mabango.
KARIBUNI TUFURAHIE UHAI NA NEEMA
#swimming #swimmingpool #food #drinks #enjoy #music #familytime
Hongera sana. Bei reasonable kabisa. Wengine tuko mikoani huku nikija Dar nitakutembea mkuu.Family n' Fun