Karibuni Swimmingpool ya kibabe Dege kigamboni

Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni

Mm mdau sana wa kuogelea, Siku nyingine tangazo liwe la kueleweka
 
Nimewekeza Kwenye biashara ya swimmingpools na ninawakaribsha wote kwa ajili ya kufurahia maisha.. ipo maeneo yanaitwa Dege kigamboni
...acha maneno ya kihuni kwenye matangazo ya biashara...swimming pool ya kibabe watu wanakunya humo humo au... ?
 
Tangu nione watu wakibanduana kwenye pool....na mikojo wanaimwaga humo HUWA SINA HAMU KABISA!

Tena huwa sina aman hasa nikikumbuka tabia za watu weusi za kutojali na kutokuwa waaminifu ( Yaani namaanisha anaepewa kazi ya kuweka dawa maji, haweki bali anaiba ili akauze ),
Hili huwa linatia mashaka sana kutumia pool!

Nimenunua Yale mapool ya watoto najazaga maji najiloweka na mtambi wangu kwa roho saafi!

Kwenda kwenye pool hadi nijiridhishe usafi na usimamizi kama ni mathubuti
Sasahivi Wazungu wakija bongo hawaogi KABISA kwenye pool zetu, labda baharini tu

Ukiwakuta kwenye swimming pools ujue wanatumia wao WENYEWE TU. [emoji23][emoji23]
 
Kuna huduma gani nyingine hapo

Family n' Fun
[emoji338]Phone: 0769384838
@fhopeswimmingpool@gmail.com

Drink Swim. Eat. Parties.. wedding.. all kinds of Gathering

[emoji3581]Drinks [emoji482][emoji1634][emoji3047][emoji485]
[emoji3581] Luxury Swimming Pool
[emoji3581]Best Food Restaurant
[emoji3581] BBQ - Kisinia
[emoji3581]Big TV Screens[emoji342][emoji460]️
[emoji3581]Best Music [emoji442][emoji442][emoji344][emoji344][emoji444]
[emoji3581]Kids Pool [emoji2254] - Games

KUINGIA NI BUREEE
Kuogelea watoto elfu 5000/-
Kuogelea wakubwa elfu 10,000/-

MUDA WA KAZI: Kila siku Kuanzia saa 4 asubuhi 10:00 am Mpaka usiku 05:00

Watoto mwisho kuogelea saa 2 USIKU*
Watu wazima mwisho kuogelea saa 5 usiku
---Nguo ni swimming costume zinazoruhusiwa ndani ya Pool SIO ZA COTTON--

KUJIFUNZA KUOGELEA: Kila Siku
Full Package - 100,000/= kwa siku 10
Basic Swimming Skills - 50,000/= kwa siku 5

Tuko Kigamboni, Mbele ya Geza kituo kinaitwa Kwa PAZI kabla haujafika maghorofa ya DEGE upande wako wa Kulia utaona Mabango.

KARIBUNI TUFURAHIE UHAI NA NEEMA

#swimming #swimmingpool #food #drinks #enjoy #music #familytime
 
Safi,Tangazo ndo linatakiwa liwe hivi

Nitakuja kupiga kisinia soon
 
Hongera sana. Bei reasonable kabisa. Wengine tuko mikoani huku nikija Dar nitakutembea mkuu.
 
Back
Top Bottom