Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Af Wewe Bhn Akati Apo Wamepeleka Mechi Kirumba Kwasababu Uwanja Ni Mkubwa Ili Wapate Mapato Mengi Ya Viingilio Kutokana Na Mashabiki Wataingia Wengi Kesho.Mechi ishauzwa mkuu...GG wamepita hapa wanaelekea magu kuweka kambi..sasa nashangaa huko magu hata uwanja tu hakuna..hiyo kambi ni ya aina gan!!!mashabik wa geita wamesusaa na kusema viongoz wameuza mech ndo maana wamekuja kuchezea kirumba
Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.
Mashindano makubwa hasa kwa starring wetu ni kutaka kudumisha historia ya hapa nchini. Huko nje ni vigumu kwa sababu kule soka halisi linachezwa na siyo maigizo. Ndiyo maana tunafahamu kuwa starring hana historia nzuri huko kwenye mpira halisi.
Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga.
Nilitoka kuongea jana tu. Na leo tayari muwasho umesha waanza! Hiyo mechi inachezwa leo saa ngapi?
Maana sisi wengine tunatambua fika mechi inachezwa kesho Jumapili. Kiukweli baadhi ya mashabiki wa simba mnakera mpaka basi. Sijui mna akili za aina gani!
Timu yenu ikicheza na kushinda, huwa mnakenua kweli kweli! Huku mkiwasifia sana wachezaji wenu. Mkifungwa, shutuma zinaenda kwa GSM! Eti wamewahonga wachezaji wa timu pinzani ili mfungwe!
Ikicheza Yanga na kushinda mechi, nongwa! Ndiyo kusema Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kiasi hicho juu ya ile kauli yake?
Kama haujui kitu uliza ili uepuke aibu ndogo ndogo, hiyo inaitwa kinesiology tape (KT) au muscle support tape, kazi yake ni kuongeza blood flow kwenye msuli ulioathilika na kupunguza maumivu.Haya mahirizi yatawaponza makolobataView attachment 2139295View attachment 2139297
Muwie radhi mkuu. Hakuwa anajua. Na huwa zinarangi mbalimbali, bluu, nyeusi etc. Kwenye mpira wetu bado haya mambo ndo manaKama haujui kitu uliza ili uepuke aibu ndogo ndogo, hiyo inaitwa kinesiology tape (KT) au muscle support tape, kazi yake ni kuongeza blood flow kwenye msuli ulioathilika na kupunguza maumivu.
Yanga ananunua sana mechi sana hata ngao alinunua na fedha alipokea matolaMechi ishauzwa mkuu...GG wamepita hapa wanaelekea magu kuweka kambi..sasa nashangaa huko magu hata uwanja tu hakuna..hiyo kambi ni ya aina gan!!!mashabik wa geita wamesusaa na kusema viongoz wameuza mech ndo maana wamekuja kuchezea kirumba
Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga[emoji1533]Tayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.
Mashindano makubwa hasa kwa starring wetu ni kutaka kudumisha historia ya hapa nchini. Huko nje ni vigumu kwa sababu kule soka halisi linachezwa na siyo maigizo. Ndiyo maana tunafahamu kuwa starring hana historia nzuri huko kwenye mpira halisi.
Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga.
Jana biashara anatoa Hadi pasi kwA adui na hakabi ila hakuna aliye lalamikaKila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga[emoji1533]
Bata hafanani na kuku japo wote ni jamii ya ndegeJana biashara anatoa Hadi pasi kwA adui na hakabi ila hakuna aliye lalamika
Yule Bata alinunua kwA miaka 4 mfululizo leo anamwona kuku anafanya powa anahisi anatumia mbinu zake kisa tu mchunga Bata kahamia kwenye kuchunga kukuBata hafanani na kuku japo wote ni jamii ya ndege
Tatizo nyie hata script inawashinda mnapewa penalty mnapaishaTayari script imeshaandikwa na leo tutashuhudia watu wako location kutoa kipande kingine cha dakika tisini,starring akiwa anajulikana.Na akifa atafia kwenye maua.
Mashindano makubwa hasa kwa starring wetu ni kutaka kudumisha historia ya hapa nchini. Huko nje ni vigumu kwa sababu kule soka halisi linachezwa na siyo maigizo. Ndiyo maana tunafahamu kuwa starring hana historia nzuri huko kwenye mpira halisi.
Kila la heri kwa waigizaji wetu wa leo. Ila nauona mwisho mbaya wa Geita kwa kuwa imeacha kucheza soka na kuanza kudanga.
Na kwa taarifa yako tume nunua mechi zote kuanzia ngao ya hisani kama nyie mlivyo uza huko Morocco na Geita wametuuzia hivyo hivyo...Utopolo wazee wa kununua mechi. Wakienda kimataifa hawatoboi
Hana uwezo wa kununu mech yyte ya Azam wala Simba...anahonga tu vtimu vidogo vyenye vijivikozi vya kauka nikuvae kama waoYanga ananunua sana mechi sana hata ngao alinunua na fedha alipokea matola
Yanga ananunua sana ndo maana anaongoza kwA kupewa penati na kukosa kuliko timu zote
Yanga ananunua sana ndo maana mechi zake nyingi anashinda kwA utata
NB: palipo na neno yanga ondoa weka kolo
Sasa kumbe Yanga hawawezi kununua mechi kwa Simba wals Azam. Kwa maana hiyo Azam walikula vyuma viwili kihalali kabisa. Na Simba kachezea kwenye ngao ya jamii kihalali kabisa huku kwenye mechi ya ligi wakishangilia siku nzima kutoka sare na yanga. Sasa kama imeshindwa kufungwa na Azam na Simba je kwa akili yako ni timu zipi ambazo zinauwezo kuliko Azam na Simba ambayo yanga iwaogope kucheza nao mpaka wahonge?Hana uwezo wa kununu mech yyte ya Azam wala Simba...anahonga tu vtimu vidogo vyenye vijivikozi vya kauka nikuvae kama wao