Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Mechi ishauzwa mkuu...GG wamepita hapa wanaelekea magu kuweka kambi..sasa nashangaa huko magu hata uwanja tu hakuna..hiyo kambi ni ya aina gan!!!mashabik wa geita wamesusaa na kusema viongoz wameuza mech ndo maana wamekuja kuchezea kirumba