MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
KaribuNitarudi
Oh okay sawa
Marufuku kubandika kwenye nyumba yangu.. Jenga yakoHii mikeka mbao ukiweka kwenye nyumba ya kupanga ukitaka kuhama inakuwaje?
Umenikumbusha mbali sana kuna nyumba nilipanga mwenye nyumba akasema hataki nyumba yake itobolewe hata kuweka tv ukutani hakunaMarufuku kubandika kwenye nyumba yangu.. Jenga yako
Yupo sahihi unaanzaje kutoboa ukuta, ukihama umwachie matobo aikija mwingine atopoe kwa engo yake... Marufuku!Umenikumbusha mbali sana kuna nyumba nilipanga mwenye nyumba akasema hataki nyumba yake itobolewe hata kuweka tv ukutani hakuna
Kuna mwenye nyumba mpuuzi, nilihama ghafla nikamuachia kodi ya miezi miwili (600k).Umenikumbusha mbali sana kuna nyumba nilipanga mwenye nyumba akasema hataki nyumba yake itobolewe hata kuweka tv ukutani hakuna
Mimi naona wenye nyumba wangekuwa wanaongeza kodi kidogo kwaajili repairing pale mpangaji atakapohamaYupo sahihi unaanzaje kutoboa ukuta, ukihama umwachie matobo aikija mwingine atopoe kwa engo yake... Marufuku!
Bado hii biashara kwa Tanzania inafanywa kijima mno.Mimi naona wenye nyumba wangekuwa wanaongeza kodi kidogo kwaajili repairing pale mpangaji atakapohama
Mpangaji hapangishi kuja kumtunzia mwenye nyumba nyumba yake.
Mpangaji anataka chumba chake aninginize frames za picha (lazima atatoboa ukuta), mpangaji anataka aninginize TV (lazima atatoboa ukuta)
Pole huyo alikuwa mpuuzi pro maxKuna mwenye nyumba mpuuzi, nilihama ghafla nikamuachia kodi ya miezi miwili (600k).
Alivyo hana aibu ananipigia simu eti kwanini ulitoboa nyumba yangu..... Nikamwambia mzee em kwa hiyo kodi niliokuachia toa fungu dogo repair hapo nilipotoboa, akakata simu.
Sasa vitu vya kukaa ukutani kama tv na picha niweke wapiYupo sahihi unaanzaje kutoboa ukuta, ukihama umwachie matobo aikija mwingine atopoe kwa engo yake... Marufuku!
Nunua meza zenye hanger upachike tiv yakoSasa vitu vya kukaa ukutani kama tv na picha niweke wapi
Haileti show nzuri hata kidogo, nyumba yenye hayo masharti sitaiweza kwakweliNunua meza zenye hanger upachike tiv yako
Hata kama ni ww huwezi kukubali nyumba Yako itobolewe labda ukapange zile za uswahilini za bei ya chini mkuuHaileti show nzuri hata kidogo, nyumba yenye hayo masharti sitaiweza kwakweli
Kutoboa kuweka tv mimi sioni kama hiyo ni shida mkuu ila kwenye kuweka picha na makorokoro mengi huko ndiyo shidaHata kama ni ww huwezi kukubali nyumba Yako itobolewe labda ukapange zile za uswahilini za bei ya chini mkuu
Mkuu ukitoboa ukuta wa nyumba, ni kama umetoboa roho yake mwenye nyumba. haujui tu ni namna Gani wanavyofeel, yani hapo kurepair ukihama inamchukua ghalama sana haujui tu siku tukijaaliwa ukajenga utagundua mwenye nyumba alikuwa sahihiKutoboa kuweka tv mimi sioni kama hiyo ni shida mkuu ila kwenye kuweka picha na makorokoro mengi huko ndiyo shida
Tena nyumba ikiwa mpya ndiyo hatari zaidiMkuu ukitoboa ukuta wa nyumba, ni kama umetoboa roho yake mwenye nyumba. haujui tu ni namna Gani wanavyofeel, yani hapo kurepair ukihama inamchukua ghalama sana haujui tu siku tukijaaliwa ukajenga utagundua mwenye nyumba alikuwa sahihi