Karibuni tuijadili hii Biashara

Mkuu ukitoboa ukuta wa nyumba, ni kama umetoboa roho yake mwenye nyumba. haujui tu ni namna Gani wanavyofeel, yani hapo kurepair ukihama inamchukua ghalama sana haujui tu siku tukijaaliwa ukajenga utagundua mwenye nyumba alikuwa sahihi
Sasa kama roho inauma usiipangishe. Kwa akili hizi acha tu wachina waendelee kuja kuwekeza ili tupate akili za biashara.
 
Yani Mimi nijinyime nijenge nyumba yangu nzuri niifinish kwa rangi nzuri Halafu uje kunitoborea kwa Kodi Yako ya laki. Hell no ndiomaana Kuna mikataba ya wapangaji ni marufuku kufanya kile ambacho hakipo kwenye mkataba
 
Mama Samia uko vizuri sana
 
Yani Mimi nijinyime nijenge nyumba yangu nzuri niifinish kwa rangi nzuri Halafu uje kunitoborea kwa Kodi Yako ya laki. Hell no ndiomaana Kuna mikataba ya wapangaji ni marufuku kufanya kile ambacho hakipo kwenye mkataba
Ok. Turudi kwenye lengo la uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…