issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Ni nomaaTena nyumba ikiwa mpya ndiyo hatari zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nomaaTena nyumba ikiwa mpya ndiyo hatari zaidi
2 in 1 au sioYani watu wanaleta mada nyingine kwenye mada nyingine wabongo bwana
Sasa kama roho inauma usiipangishe. Kwa akili hizi acha tu wachina waendelee kuja kuwekeza ili tupate akili za biashara.Mkuu ukitoboa ukuta wa nyumba, ni kama umetoboa roho yake mwenye nyumba. haujui tu ni namna Gani wanavyofeel, yani hapo kurepair ukihama inamchukua ghalama sana haujui tu siku tukijaaliwa ukajenga utagundua mwenye nyumba alikuwa sahihi
Achana na hiyo mada ya kutoboa ukuta. Unaharibu lengo la uzi.Haileti show nzuri hata kidogo, nyumba yenye hayo masharti sitaiweza kwakweli
Yani Mimi nijinyime nijenge nyumba yangu nzuri niifinish kwa rangi nzuri Halafu uje kunitoborea kwa Kodi Yako ya laki. Hell no ndiomaana Kuna mikataba ya wapangaji ni marufuku kufanya kile ambacho hakipo kwenye mkatabaSasa kama roho inauma usiipangishe. Kwa akili hizi acha tu wachina waendelee kuja kuwekeza ili tupate akili za biashara.
Mama Samia uko vizuri sanaWakuu nilikuwa nataka ninunue hii mikeka mbao (SPC Flooring) kwa ajili ya nyumbani kwangu ila kwenye mchakato ndo nikaona mbona hii kitu inataka kuwa fursa ya biashara?
Hii PVC flooring huambatana na vitu kama Wall Panels zinazotumiwa sana kama decoration kwenye majumba. Kimsingi kuna items nyingi zinauzwa pamoja na mikeka mbao. Picha kadhaa nimekuwekea.
Nini changamoto kubwa ya hii biashara? Karibuni tujadili.
View attachment 3261286View attachment 3261287View attachment 3261288View attachment 3261289View attachment 3261290View attachment 3261291View attachment 3261292
Ok. Turudi kwenye lengo la uzi.Yani Mimi nijinyime nijenge nyumba yangu nzuri niifinish kwa rangi nzuri Halafu uje kunitoborea kwa Kodi Yako ya laki. Hell no ndiomaana Kuna mikataba ya wapangaji ni marufuku kufanya kile ambacho hakipo kwenye mkataba
HatutakiOk. Turudi kwenye lengo la uzi.