Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

Pia niliwah kusikia mbegu ya parachichi ukiisaga then ukaianika ndani maana utakiwi kuanika juani ikishakauka vizuri, alafu ukairudia tena kuisaga ili iwe unga laini kabsa.

Matumizi ni unachanganya huo unga na maji ya moto iwe ni kama chai yako asubuh na jioni ila bila kitafunio na uwe ujala kitu asubuh, ni dawa ya kufanya mashine uwe ngumu hatari pia na mtu anayesumbuliwa na maumivu ya mgongo.

Kwa mtu anayeijua vizuri hii dawa atuelezee hapa vizuri
 
View attachment 2615255View attachment 2615256
Mbaazi ni moja ya dawa za mitishamba zinazotibu mambo mengi ikiwemo kurudisha bikra ya msichana endapo majani yake yatatumika na kuandaliwa vyema. Tuwe makini katika kufuata njia za kuandaa dawa yetu.

MAANDALIZI YA KUANDAA MAJANI YA MBAAZI

  • Chukua majani ya mbaazi kisha yatwange
  • Weka maji kidogo vaa kama pedi kwa muda wa wiki utaona mabadiliko
FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MBAAZI

  • Kukausha uke
  • Kuondoa majimaji ukeni
  • Kuongeza joto ukeni wakati wa jimai
  • Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
  • Husogeza kizazi karibu
  • Kusafisha kuta za uke
Hpo
View attachment 2615255View attachment 2615256
Mbaazi ni moja ya dawa za mitishamba zinazotibu mambo mengi ikiwemo kurudisha bikra ya msichana endapo majani yake yatatumika na kuandaliwa vyema. Tuwe makini katika kufuata njia za kuandaa dawa yetu.

MAANDALIZI YA KUANDAA MAJANI YA MBAAZI

  • Chukua majani ya mbaazi kisha yatwange
  • Weka maji kidogo vaa kama pedi kwa muda wa wiki utaona mabadiliko
FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MBAAZI

  • Kukausha uke
  • Kuondoa majimaji ukeni
  • Kuongeza joto ukeni wakati wa jimai
  • Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
  • Husogeza kizazi karibu
  • Kusafisha kuta za uke
Hujasema kutwa mara ngapi .
 
S
Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani.

1. Majani ya Mpapai
Aiseee, ukitaka kuongezea Damu kwa wingi na Kwa Gharama ndogoooo, chukua Majani ya Mpapai, chukua matatu au manne yaoshe vizuri, yakatekate vizuri, Kisha chukua maji Nusu Lita changanya, weka Jikoni yachemke mpaka maji yawe ya rangi ya kijani.

Epuaaa, Kisha acha yapoe. Kunywa Kwa mtu mzima, kunywa Kwa siku nusu Lita ila mtoto anywe mls 10-20 Mara tatu Kwa siku.

Pia inasaidia sana kuimarisha kinga ya mwili, Kwa wanaume inaimarisha mzunguko wa Damu hivo kufanya Mashine Kusimama inakua kama Jiwe

Utanishukuru.

View attachment 2614891



2. Huu Mmea jina nmeusahau, ila picha yake ni hii
Ikitokea unahisi Umekula au umekunywa Chakula kisichofaa yaani Kina dalili za Sumu, tumbo linauma, kuharisha, kichefuchefu basi hii kitu kiboko.

Watajiuliza, mbona kwenye Chai tumemuwekea sumu lakini ni mzima.

Mmea ni huu, unakua na tumaua kama huyo. Huu Mmea ni Kiboko ya Sumu za kulishwa /Kunyweshwa!

Alafu faida yake ingine inaimarisha Uwezo wa nguu za kiume, mashine Inakua nga ngaaa.

View attachment 2614899

Uchukue majani hayo na Maua yake, OSHA, Kisha unaweza kubrendi au kama una kakinu kadogo twanga. Baada ya hapo changanya na maji yako safi kabisa ya kunywa halafu kunywa Asubuh-Jioni Glasi Moja Moja.

Kwanza utaanza kujambaaa balaa, Kisha tumbo lako unaponaa, Kwa wengine ambao wameathirika zaidi, wanaweza hata kuharisha.

Ila Sasa ilivyo chungu 😂😂, mwarobaini ukasomee!

Karibuni Wakuuu!
Siyo jamii ya mturatura/ndulele Mkuu?
 
Back
Top Bottom