Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

Pia niliwah kusikia mbegu ya parachichi ukiisaga then ukaianika ndani maana utakiwi kuanika juani ikishakauka vizuri, alafu ukairudia tena kuisaga ili iwe unga laini kabsa.

Matumizi ni unachanganya huo unga na maji ya moto iwe ni kama chai yako asubuh na jioni ila bila kitafunio na uwe ujala kitu asubuh, ni dawa ya kufanya mashine uwe ngumu hatari pia na mtu anayesumbuliwa na maumivu ya mgongo.

Kwa mtu anayeijua vizuri hii dawa atuelezee hapa vizuri
 
Hpo
Hujasema kutwa mara ngapi .
 
S
Siyo jamii ya mturatura/ndulele Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…