Karibuni tusemezane lugha za asili

Karibuni tusemezane lugha za asili

mbii..?iiza ukhoole maayo
kyala khii mikhoonza,msouli wa mpoopo
(ramba)
 
Habari za jumapili waungwana,bila shaka mpo salama..siku kadhaaa nyuma nilikutana na Jamaa umri kama wangu..anazungumza kisukuma hadi raha..nikajisikia wivu..wazazi wangu wamezaliwa mjini,nimezaliwa mjini..wao Ni wahee..but sijui kabisa kuongea...so karibuni Kila mtu azungumze lugha yake ya asili..naanza KAMWENE??
Lete uzi wajinsi ya kurekebisha lugha ya kiswahili kwanza haswa kuhusu mfano Hasara kutamkwa hasala .kwa kifupi kupambania matumizi sahihi ya Herufi L na R maana duuhh ni tatizo la taifa kwa sasa mpaka naibu waziri wa utamaduni majuzi kati nimemsikia nae badala ya kusema Roma akasema Loma .yaani ni shida .kwa watangazaji wa tv za online ,you tube ndio usiseme ni bala tupu
 
Back
Top Bottom