Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

Je nikate ua linalo chepua, au wajivunie kwa kile ninacho jua.../

Wanajisumbua na kiwewe, ye siri ya mtungi hua naijua mwenyewe.../

Basi jua nacho jua nielewe, watu tunakua kama haukui ni wewe.../

Tofauti zinakuja na shutuma, tofauti yako na mke mwema hakuna.../

Upo tofauti na vipashkuna, wanaoniona tofauti we unaniona mwenye huruma.../

Una sifa haswa za kuitwa mama kwa raha na mateso upo nami mumeo, kwasasa nakupenda zaidi ya jana na ikifika kesho ntakupenda zaidi ya leo..../
Jioni usiku mchana, jua likizama
Tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Si wafunge kelele
Maana wanaona

Wanaona gere, wanaona gere
 
Una sauti nyororo, jicho la kichokozi/
Ngozi laini na unacheka kwa mapozi/
Lips rojorojo zimekaa kiutamuutamu/
Nikikutazama mwezako napata hamuhamu/
Niruhusu nikuonjeshe ladha halisi ya mapenzi/
Nitauchora urembo wako katika tenzi/
Mimi na wewe pamoja tutagusa nyota na mwezi/
Na nitaburudisha masikio yako kwa nyimbo tamu za mapenzi/
Kama penzi lako jela ntakuhonga ili unifunge/
Na sitokata rufaa, sijali acha wabonge/
Ukinipa limbwata, nitazidisha dozi/
Ili nisitoke kwako tuwe wote kwenye njozi/

i wanna be your main chick nakupenda......


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jioni usiku mchana, jua likizama
Tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Si wafunge kelele
Maana wanaona

Wanaona gere, wanaona gere
Samahani kama nakukera nikiwaza, nafikiria fika nikutengenezee shela la kanga.../
 
For the sake of this love, I should be a better woman 😊
Japo nimekuona leo for the first time/
Ila moyoni nimetamani uwe my first love/
Sina la kifanya navutwa na yako gravity/
Na milele nitazunguka kwa yako orbit/
Naamini wewe ndio kisima cha yangu furaha/
Nipe nikate kiu, sio poa kukataa/
Sijali kama utanipa mtihani ili niwe wako/
Nitajaza booklet kueleza mapenzi yangu kwako/
 
Inna uko wapi?

Ucheshi na sauti,
Umenifanya nakumisi tu
Mwambieni asiogope, T ni kipenzi cha watu
Tafanya party nyumbani, Yote kwa ajili yake
Tena asije pekee yake, asiogope aje na wenzake.

Oohoo jamani mwambieni aje.
 
Penzi lako linimekolea
sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea, sikuwachi honey
Nnapokuona mi nataka
Ongeza manjonjo mi na takataa
Sitaki mwengine we unanifaa
Tena kwa mwengine mi sinoi
Unavyo touch touch kiunoo
Unaamsha amsha yaliomo
[emoji124][emoji13]
Huu ndio upendo sasa....
Naona umeamua kunipenda hivi nilivyo..[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penzi lako linimekolea
sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea, sikuwachi honey
Nnapokuona mi nataka
Ongeza manjonjo mi na takataa
Sitaki mwengine we unanifaa
Tena kwa mwengine mi sinoi
Unavyo touch touch kiunoo
Unaamsha amsha yaliomo
[emoji124][emoji13]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji127][emoji127][emoji127]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niite basi mpenzi uwe wanguu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo ni za kwangu [emoji445][emoji445]
You the one that I dream about all day
You the one that I think about always
You are the one so I make sure I behave
My love is your love, your love is my love🎵🎵🎵
 
Back
Top Bottom