Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ahsante kwa upendo wako mwali...Me sina cha kusema zaidi ya nakupenda sana, hakika we ni wangu wa kufa na kuzikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa upendo wako mwali...Me sina cha kusema zaidi ya nakupenda sana, hakika we ni wangu wa kufa na kuzikana
Jioni usiku mchana, jua likizamaJe nikate ua linalo chepua, au wajivunie kwa kile ninacho jua.../
Wanajisumbua na kiwewe, ye siri ya mtungi hua naijua mwenyewe.../
Basi jua nacho jua nielewe, watu tunakua kama haukui ni wewe.../
Tofauti zinakuja na shutuma, tofauti yako na mke mwema hakuna.../
Upo tofauti na vipashkuna, wanaoniona tofauti we unaniona mwenye huruma.../
Una sifa haswa za kuitwa mama kwa raha na mateso upo nami mumeo, kwasasa nakupenda zaidi ya jana na ikifika kesho ntakupenda zaidi ya leo..../
Kunizoea mimi ni rahisi japo naonekana kauzu, ila kuzizoea pesa zangu haiwezekani hata kinguvu.../
Mistari michache lakini inatosha kumaliza vita kali ya nyuklia.Ukiniacha me ntalia, ukienda zako nitabaki naumia
Una sauti nyororo, jicho la kichokozi/
Ngozi laini na unacheka kwa mapozi/
Lips rojorojo zimekaa kiutamuutamu/
Nikikutazama mwezako napata hamuhamu/
Niruhusu nikuonjeshe ladha halisi ya mapenzi/
Nitauchora urembo wako katika tenzi/
Mimi na wewe pamoja tutagusa nyota na mwezi/
Na nitaburudisha masikio yako kwa nyimbo tamu za mapenzi/
Kama penzi lako jela ntakuhonga ili unifunge/
Na sitokata rufaa, sijali acha wabonge/
Ukinipa limbwata, nitazidisha dozi/
Ili nisitoke kwako tuwe wote kwenye njozi/
Daby na kitambi utawezana ?Uzuri wako kama wema pale kati
Nimekuteka hata jiga hakupati
Hata wengine wakisema
Umeshapenda nami nakupenda kwa dhati...
Samahani kama nakukera nikiwaza, nafikiria fika nikutengenezee shela la kanga.../Jioni usiku mchana, jua likizama
Tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Si wafunge kelele
Maana wanaona
Wanaona gere, wanaona gere
So ningemuonga nyota na mbalamwezi viwe Mali yake yeye! Natamani ila tatizo siwezi..😭😍🤗Ukiniacha me ntalia, ukienda zako nitabaki naumia
Japo nimekuona leo for the first time/For the sake of this love, I should be a better woman 😊
Ok baby go down babe...Baby, if you give it to me, I'll give it to you
I know what you want, you know I got it
Baby, if you give it to me, I'll give it to you
As long as you want, you know I got it
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio upendo sasa....Penzi lako linimekolea
sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea, sikuwachi honey
Nnapokuona mi nataka
Ongeza manjonjo mi na takataa
Sitaki mwengine we unanifaa
Tena kwa mwengine mi sinoi
Unavyo touch touch kiunoo
Unaamsha amsha yaliomo
[emoji124][emoji13]
😅😅😅DepalOh! Baby when you talk like that
You make a woman go mad
So be wise (si) and keep on (si)
Reading the signs of my body..
1. Uno
2. Dos
3. Tres
4. Cuatro
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji127][emoji127][emoji127]Penzi lako linimekolea
sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea, sikuwachi honey
Nnapokuona mi nataka
Ongeza manjonjo mi na takataa
Sitaki mwengine we unanifaa
Tena kwa mwengine mi sinoi
Unavyo touch touch kiunoo
Unaamsha amsha yaliomo
[emoji124][emoji13]
You the one that I dream about all dayNiite basi mpenzi uwe wanguu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo ni za kwangu [emoji445][emoji445]