Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #21
Deka unavyodeka kama mtoto....nitakubembeleza mi ni wakooonakupenda nakutaka nakuhitajii , moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami....
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deka unavyodeka kama mtoto....nitakubembeleza mi ni wakooonakupenda nakutaka nakuhitajii , moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee 😂😂😂😂Mchumba nipapase, ila waleti yangu usiguse.../
Uzuri wako kama wema pale katiWewe niambie tuu "Hannah, wewe sio wa ligi yangu. Subiri wanaume wa Buza watakuja kukutongoza". Nipe ukweli wangu tuu.
Wanaume tunaruhusiwa kuchangia mkuu?Namsubiria mdada atakayecomment wa kwanza nianze naye.
Wewe umeielewa mada vilivyonakupenda nakutaka nakuhitajii , moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
Sent using Jamii Forums mobile app
Deka unavyodeka kama mtoto....nitakubembeleza mi ni wakooo
Sina fedha, kwenye mahusiano kama kambale mchumba ukinishika nateleza.../I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
I love u waubanii waubanii
Na huku i love your money
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujamtagMe sina cha kusema zaidi ya nakupenda sana, hakika we ni wangu wa kufa na kuzikana
Ooh... Kwahiyo ni mimi tu kutupia maswaga hapa niopoe mrembo...Kutongoza mkuu sio kuchangia
Sijui uliumbwa muda gani wee ni mzuri masha Allah
Ukicheka mwanya fulani ukinuna nashangaa.