Kaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,Diego Costa alishachezea Brazil national team baadae akahamia Spain.
Do research mdogo wangu.
Ndiyo alikuwemo kwenye msala huo pia. Hana nidhamu yule japokuwa anajua mpira.Ila nakumbuka pia alikuwa na kesi ya kutembea na msichana aliye under age, hiyo kesi pia alikuwepo Frank Ribery ndo maana hata Ribery nae alipigwa chini muda mrefu
Wamekulia malezi mabaya.Wachezaji wengi wa ufaransa wenye asili ya Algeria uwa wanakuwa na kibri si una mkumbuka Samir Nasri akiwa katika ubora wake naye akuitwa timu ya taifa.
FIFA inazuia mtu kama ulishacheza mechi official kwa taifa moja,huwezi chezea taifa jingine. Benzema imekula kwake. Kwanza hana nidhamu angekuwa mwingine wala asingejibidhana kwenye twitter. Angekuwa ana nidhamu angeandika barua Kwa French football Org na kuomba msamaha. Angetafuta kuwasiliana na kocha na kuomba msamaha,angeliomba taifa msamaha. Tatizo analeta kibri cha uarabu wa North Africa.
Asee mkuu uko vizuri kwa jinsia ke unajitahidi sana kufatilia mpira.Wamekulia malezi mabaya.
Umewanyoosha hawa wanaume wanaojifanya wanafatilia mpira kumbe mboyoyo tupu tuKaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,
Tofauti yao ni kua mmoja ni mfaransa wa kuzaliwa na mwingine ni mwarabu mtunisa aliehamia ufaransa
Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya Ufaransa?
Kaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,
Tukumbushe MkuuYani haya ndo mattzo ya waafrika haijalishi ni mweusi wala mweupe wote wanamattzo,
Ref boban mambo aliofanyaga huko sweden.
Hahahahah.Kiungo mkata shombo. Nilikuwa simfahamu Mwanaidi mpaka alipohamia wasafi tv.Nakuona nakuona binti suleman..kiungo ndimu mkata shombo...upo vizuri mnoo[emoji23][emoji23]
Hahahahah.Kiungo mkata shombo. Nilikuwa simfahamu Mwanaidi mpaka alipohamia wasafi tv.
Mwaka huu mwezi wa 10 anafikishwa mahakamani kujibu tuhuma, akijutwa na hatia jela itamhusuTutaaminije maneno yako?
Hatimaye Benzema nae kaitwa timu ya taifa kwa ajili ya mashindano ya Euro.Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya Ufaransa?
Sio kweli mkuu Benzema hakua na hiyo video ya ngono ya Mathew Valbuena aliekua na hiyo video Ni Karim Zenati (rafiki wa benzema wa utotoni)Benzema. Ila Benzema hana nidhamu ndo maana haitwi tena team ya taifa. Benzema alim-blackmail mchezaji mwenzake kwa mkanda wa ngono.
Benzema alitaka alipwe pesa ili asivujishe mkanda wa ngono wa mchezaji mwenzake wa France national team.
Sahihi naona alichofanya jana ni kweli ana deserve ila Giroud anaweza kuwa supersubBenzema anadeserve kuanza timu ya Taifa Ufaransa mbele ya Giroud