Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,Diego Costa alishachezea Brazil national team baadae akahamia Spain.
Do research mdogo wangu.