Karim Benzema vs Oliver Giroud

Karim Benzema vs Oliver Giroud

Diego Costa alishachezea Brazil national team baadae akahamia Spain.
Do research mdogo wangu.
Kaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,
 
FIFA inazuia mtu kama ulishacheza mechi official kwa taifa moja,huwezi chezea taifa jingine. Benzema imekula kwake. Kwanza hana nidhamu angekuwa mwingine wala asingejibidhana kwenye twitter. Angekuwa ana nidhamu angeandika barua Kwa French football Org na kuomba msamaha. Angetafuta kuwasiliana na kocha na kuomba msamaha,angeliomba taifa msamaha. Tatizo analeta kibri cha uarabu wa North Africa.

Uko vizuri asee hadi unajua kuwa waarabu wa north africa wana viburi
 
Kaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,
Umewanyoosha hawa wanaume wanaojifanya wanafatilia mpira kumbe mboyoyo tupu tu
 
Tofauti yao ni kua mmoja ni mfaransa wa kuzaliwa na mwingine ni mwarabu mtunisa aliehamia ufaransa

Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya Ufaransa?
 
Nakuona nakuona binti suleman..kiungo ndimu mkata shombo...upo vizuri mnoo[emoji23][emoji23]
Kaka najua mpira bro wangu. Diego Costa hakuwahi kucheza official mechi/mashindano yanayowakilisha taifa. Diego Costa aliwahi kucheza na Brazil mechi za kirafiki tu. Sheria za FiFA zinasema ukiwa umechezea taifa moja official mechi,kamwe huwezi badili. Mfano kombe la dunia,euro cup,afcon,
 
Ukiangalia uwezo wa Oliver Giroud na uwezo wa Karim Benzema, yupi anastahili kuitwa kuichezea Timu ya Taifa ya Ufaransa?
Hatimaye Benzema nae kaitwa timu ya taifa kwa ajili ya mashindano ya Euro.
Hapo ndani ya timu inakuwa nani aanze benchi au wote waanze katika first eleven.
 
Benzema anadeserve kuanza timu ya Taifa Ufaransa mbele ya Giroud
 
Giroud huyu huyu ambae kwenye worldcup kacheza mechi zote bila short on target hata moja
 
Benzema. Ila Benzema hana nidhamu ndo maana haitwi tena team ya taifa. Benzema alim-blackmail mchezaji mwenzake kwa mkanda wa ngono.

Benzema alitaka alipwe pesa ili asivujishe mkanda wa ngono wa mchezaji mwenzake wa France national team.
Sio kweli mkuu Benzema hakua na hiyo video ya ngono ya Mathew Valbuena aliekua na hiyo video Ni Karim Zenati (rafiki wa benzema wa utotoni)

Huyo Karim Zenati Ni blackmailer yeye ndo alikua anamtumia Benzema amwambie Valbuena atoe pesa ili video yake isivuje

Sasa hapo Benzema ana kosa gani??
 
Back
Top Bottom