Karim Boimanda: Bodi ya ligi tunaendelea na maandalizi ya Dabi ya Kariakoo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu.

source:Swahilitimes
 
Sasa wqnaendelea na maandalizi hawataki kutangaza viingilio😂😂, au mechi inachezwa bila mashabiki?.
Viingilio ni vilevile vya Machi 8, endelea na maandalizi kabambe 😎
 
Viingilio ni vilevile vya Machi 8, endelea na maandalizi kabambe 😎
Vile viingilio najua vitaleta mgogoro tu maana watu walishascan na kuingia uwanjani, sijui kama itawezekana tena, ngoja tuone.
 
Hahahahaha,hivi unawaamini hao? Si ndio walisema mechi ipo ya tarehe 8 ,asubuhi kufika mchana wakahairisha
 
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa wqnaendelea na maandalizi hawataki kutangaza viingilio😂😂, au mechi inachezwa bila mashabiki?.
Akili zenu mnaziacha chooni mkiendaga kujisaidia? Tiketi ziuzwe mara ngapi na watu walishajaza uwanja.
 
Wanasimba twenzetu tukaujaze uwanja wa Mkapa tukashangilie ubingwa wetu wa NBC
 
Akili zenu mnaziacha chooni mkiendaga kujisaidia? Tiketi ziuzwe mara ngapi na watu walishajaza uwanja.
Mazombie ya muhamedi bana... Haya jpl nendeni uwanjani sasa😂😂
 
Viingilio ni vilevile vya Machi 8, endelea na maandalizi kabambe 😎
Unaujua mfumo wa tiketi za kielectroniki?, simba alishindwa nini kutumia alizowaibia washabiki wake kutoka kwa mkapa hadi zanzibar?.
 
Atumwani uyu...aliwaamisha Watu mpaka Tarehe 8 Mwezi machi saa 6 mech IPO ila baadae kidogo mech haikuchezwa.....Hii kampeni ya Hatuchezi itawaingia Tu Tarehe 15 kusanya nguvu uangalie Club world cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…