Karim Mandonga anacheza aina gani ya Ndondi?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa?

Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza kwa KO.

Sasa Mbona Mandonga Yeye Kila kukicha ana mapambano tu.

Wataalamu Mnieleweshe Kwenye Hili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilishawai kusema ili swala mara kibao ,jamaa wiki haipiti anapiga mwezi huu kapigana mara mbili mwezi ujao anapigana tena ,je hii ni Sheria ya wapi?

Kila wiki ana pambano ...Ipo siku atakuja kupigwa ngumi ya kichwa anye bure!;
 
Zile ni kama sparring tu anafanya sidhani kama ni mapambano hata mabondi wa kubwa wana yacheza sana kwakuwa mandoga ni star kwasasa ndo yanaonekana kama mapambano ila hizo ni sparring watu wa boxing wanaelewa.
 
Piga nikupige haina kundembela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…