Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa?
Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza kwa KO.
Sasa Mbona Mandonga Yeye Kila kukicha ana mapambano tu.
Wataalamu Mnieleweshe Kwenye Hili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app