Karim Mandonga anacheza aina gani ya Ndondi?

Karim Mandonga anacheza aina gani ya Ndondi?

Pitieni huku ndo mtaelewa.
 
Wakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa?

Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza kwa KO.

Sasa Mbona Mandonga Yeye Kila kukicha ana mapambano tu.

Wataalamu Mnieleweshe Kwenye Hili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kikubwa pesa inaingia, akifia ulingoni ni ajali kazini
 
Mimi kama shabiki kindaki ndaki wa mandonga, nakwazika sana kuona ameanza kushinda siku hizi,
Mandonga popote ulipo nakwambia kushindwa kwako ndio heshima sio kushinda!
 
Back
Top Bottom