moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
HhahahahaahIla yule jamaa atafia ulingoni. Ile pambano la Kigoma nusura achapwe alienda chini kama gunia ingawa alishinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HhahahahaahIla yule jamaa atafia ulingoni. Ile pambano la Kigoma nusura achapwe alienda chini kama gunia ingawa alishinda
Na tupo nae bega kwa bega mpaka atakapofia ulingoni.Mandonga mtu kazi shujaa wetu kabisa
,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] el manyoNa tupo nae bega kwa bega mpaka atakapofia ulingoni.
Kikubwa pesa inaingia, akifia ulingoni ni ajali kaziniWakuu Ndondi anazocheza Mandonga ni aina ya professional au amature/ridhaa?
Sheria za ndondi haziruhusu kupigana kama hujamaliza miezi mitatu baada ya pambano moja na miezi 6 baada ya kupoteza kwa KO.
Sasa Mbona Mandonga Yeye Kila kukicha ana mapambano tu.
Wataalamu Mnieleweshe Kwenye Hili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app