kityentyee
Member
- Mar 9, 2021
- 72
- 340
Tena Domo la mamba daadeekiii [emoji1787][emoji1787]Mimi na masters yangu natembelea Boxer BM 150 kweli mungu sio juma nyosso[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Domo la mamba daadeekiii [emoji1787][emoji1787]Mimi na masters yangu natembelea Boxer BM 150 kweli mungu sio juma nyosso[emoji1787]
Vieteeee yako iko wapii...??Toyota Nadia ni gari ya kumpa mtu kweli in 2023? Nadia ilikuwa discontinued in 2023 maanake huwezi kupata Nadia ambayo haina miaka zaidi ya 19 at least. Hili gari bora akalitupe azawaizi ni tripu za shamba, gereji, shamba, gereji
Bora umpe ushauri huo maana hela mwanaharamu
Mastaa wengi duniani huona ufahari kuwa wahuni na wavuta Unga pindi wanapozipata
Unashangaa jitu kubwa likipata hela linarudi utoto
Betting inalipa wazee sio utani, betting inalipa sana, alienielewa kanielewaBondia Mtanzania Karim Mandonga amekabidhiwa gari aliyoahidiwa endapo angeshinda pambano lake nchini Kenya, amepewa zawadi ya gari hilo aina ya Nadia na Mfanyabiashara Dick Sound bila mashariti yoyote ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi aliyokuwa ameahidiwa endapo angeshinda pambano hilo.
Tukio hilo limefanyika leo hii katika Ofisi za DickSound Mall @dicksoundmall maeneo ya Magomeni Dar es salaam ambapo Dick amesema “Nimempa kama zawadi siyo kwa ajili ya Ubalozi, alikuja kwangu wakati anaenda kupambana nikamuahidi akishinda nitaweza kumpa gari, wakati akiwa Kenya nikaona video nikamtumia kumwambia umeniangusha ushapigwa, akasema hapana sio kweli Mimi ndio napanda kupambana, hivyo leo tumemkabidhi kumpongeza na kutimiza ahadi”
Kwa upande wa Mandonga “Namshukuru sana DickSound Kwa hili leo ndoto yangu imetimia, Mandonga anaondoka na usafiri Mungu mkubwa
Shukuruni kwa kila jambo. Usipoweza kushukuru kwa jambo dogo utaweza kwa jambo kubwa?Toyota Nadia ni gari ya kumpa mtu kweli in 2023? Nadia ilikuwa discontinued in 2003 maanake huwezi kupata Nadia ambayo haina miaka si chini ya 19 at least. Hili gari bora akalitupe azawaizi ni tripu za shamba, gereji, shamba, gereji
Ndio maendeleo ya mwafrika hayo? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Ndo muda wa kumalizia sunna ya mtume avute wake 3 chapuuu
Amiii punguza munkali weyeeHata angepewa range rover iliyotoka 20 years ago ni upumbavu. Next time usiwe kama ling’ombe. Ishu sio brand wala model ya gari. Ishu ni for how long that car has been in use. Usitumie kichwa kama mfuko wa kubebea meno pekee.
Kupanga ni kuchaguaNdio maendeleo ya mwafrika hayo? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Na kweli jamaa inaonesha aliweka mzigo mrefu kwa mandonga.Betting inalipa wazee sio utani, betting inalipa sana, alienielewa kanielewa
AsanteNdio umeandika nini sasa hovyo
Ndio kaweka ndefu kapiga ndefu kwenye 100 akampa 20 anapata hasara gani? Betting inalipa hii michezo watu wanapiga pesa, anaweza akacheza jingine akaambiwa apigwe yaan apoteze pambano na akipoteza watu wanaingiza pesa, betting inalipa wenye akili ya pesaNa kweli jamaa inaonesha aliweka mzigo mrefu kwa mandonga.
Tumpe mda na miezi mingap sasa?Kibongo bongo, watu wanaopata umaarufu wa ghafla huwa kwenye peak kwa miezi kama 6 tu, baada ya hapo umaarufu hupotea...wako wapi sasa watu kama Pierre, Uchebe, Chikumbalaga aka Sukari yao, yule dogo wa Irudiweee...
Sio unaropoka tu haya maneno yawe ya kweli, mmasai aliachia ng'ombe ooohoAje Kilosa nimpe na Starlet yangu awe nazo mbili.
Mchungaji atampatiaShabani Kaoneka akisikia haya anajiuliza why.
Imenikumbusha zile Noah tulizoahidiwa Watanzania.Bondia Mtanzania Karim Mandonga amekabidhiwa gari aliyoahidiwa endapo angeshinda pambano lake nchini Kenya, amepewa zawadi ya gari hilo aina ya Nadia na Mfanyabiashara Dick Sound bila mashariti yoyote ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi aliyokuwa ameahidiwa endapo angeshinda pambano hilo.
View attachment 2485210
Tukio hilo limefanyika leo hii katika Ofisi za DickSound Mall @dicksoundmall maeneo ya Magomeni Dar es salaam ambapo Dick amesema “Nimempa kama zawadi siyo kwa ajili ya Ubalozi, alikuja kwangu wakati anaenda kupambana nikamuahidi akishinda nitaweza kumpa gari, wakati akiwa Kenya nikaona video nikamtumia kumwambia umeniangusha ushapigwa, akasema hapana sio kweli Mimi ndio napanda kupambana, hivyo leo tumemkabidhi kumpongeza na kutimiza ahadi”
Kwa upande wa Mandonga “Namshukuru sana DickSound Kwa hili leo ndoto yangu imetimia, Mandonga anaondoka na usafiri Mungu mkubwa
Mgari utakuwa mbovu huo mzee. AmempaAcha hzo Bora kapewa kulikon Hana kbsa muhimu kuwa na gar ata ikiwa tripu shamba POA tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pata hela tujue tabia yako,Bora umpe ushauri huo maana hela mwanaharamu.
Mastaa wengi duniani huona ufahari kuwa wahuni na wavuta Unga pindi wanapozipata.
Unashangaa jitu kubwa likipata hela linarudi utoto.