Karma inaniumiza sana mwenzenu

Karma inaniumiza sana mwenzenu

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
 
Nimeu quote ili uki edit ibaki kumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifanya nini , au ulipaswa kufanya nini unahisi hujafanya, kama ulifanya jambo baya tubu,kama ulidhurumu mali za watu warudishie kiroho safi, Karma is always good
Shukrani Mkuu.
 
Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Weka wazi mabo usaidiwe naweza nikawa msaada kwako nina diploma in theologia .....najua kwa unayopitia na hali unayoisikia ya kupoa ki huduma weka wazi au nifate pm nikusaidie

sent from toyota Allex
 
Nimeweza wazi kuwa kinàchonisumbua ni karma na inasababisha mashindano kati ya mwili na roho.
 
Back
Top Bottom