Karma inaniumiza sana mwenzenu

Karma inaniumiza sana mwenzenu

Atakufa kama hasemi. Dhambi iseme ili usamehewe, Hakuna aliye msafi tunazo kubwa na ndogo..Dhambi insua mwili na roho
Kuna mahali anapaamini zaidi pa kupakulia

Na unawajua wanajf wanaweza badala ya kukutuliza kwa faraja ndio unaenda tafuta kitanzi kabisaa
 
Yule ambae alitaka kujiua kisa ana jambo linamsumbua hataki kusema nlimwambia aende ata chooni aongee peke yake atatua mzigo mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam....inanihukumu sana hii kitu.
Mkuu kinachokutesa ni negative energy zilizopo kwenye akili yako unachotakiwa ni kuacha kuwaza mawazo negative, karma haina tofauti sana na law of causes and effect, una uhuru wa kuwaza chochote ila huna uwezo kuchagua matokeo ya ulichokiwaza maana hiyo ni kazi ya nature na always nature win.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni sana nimepata majibu mengi sana nina uhakika yatanisaidia
 
Kweli Mkuu ila Mwalimu naye hujifunza
Karma siyo kumbumbuku! Unajua kiingereza? Karma = action, effect, fate! Karma is a spiritual principle of cause and effect where intent and actions of an individual influence the future of that individual. Good intent and good deeds contibute to good karma while bad intent and bad deeds contibute to bad karma.
Kwa kifupi hii ni philosophy ya dini ya kihundu yenye maana kuwa ukitenda mazuri utapata ''karma'' (bahati) nzuri baadae maishani mwako na ukitenda mabaya utapata ''karma'' (bahati) mbaya baadae maishani mwako. eg: Ukimwibia mtu kilicho chake, hata kama hatakujua na kukukamata lakini zipo nguvu za asili ambazo zitakuja kukuadhibu wewe baadae. Hii ina maana unaweza kuja kupoteza kitu kikubwa zaidi au ukapata balaa kubwa! Kwa kifupi sana hii ndiyo maana yake.
 
Asante Mkuu...niliandika hivyo nikimaanisha Matendo tunayoyafanya kwa kujua au kutojua au waliyoyafanya watu wa karibu yetu ndiyo yanayotawala " Karma"
 
Back
Top Bottom