Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
-
- #21
Karma kwa maana rahisi ni kumbukumbu.Huyu hajui maana ya karma.
Amelitumia tuu kujiridhisha nafsi maybe.
Au aelezee anamaanisha nini akisema karma. Maana haeleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani nduguKarma husababbishwa na matendo yako..
Hakikisha hudhulumu mtu wala kumfanyia mtu uovu.kama ulifanya zamani tafuta namna usawazishe
Tueleze karma ni nini?Mkuu nadhani unaelewa maana ya karma.
Kwani karma ni mpaka ufanye kitu kimoja ndiyo ikufuatilie?.
Kulingana na uzi wako ni kumbukumbu tu zinakusumbua hakuna uhalisia, furahia maisha mkuu, wacha kutunza kumbukumbu mbaya!Kweli Mkuu ila Mwalimu naye hujifunza
Kwa ulichoeleza hapo, kinachokusumbua ni kumbukumbu? Kumbukumbu gani?Nimeweza wazi kuwa kinàchonisumbua ni karma na inasababisha mashindano kati ya mwili na roho.
Why?huwa wanasema karma is the bitch. By definition.
Binadamu wamejawa na kumbukumbu katika mawanda yake yote.Hakuna tunachokifanya nje ya kumbukumbu tukio nazo kwa kujua au kutokujua.Kwa ulichoeleza hapo, kinachokusumbua ni kumbukumbu? Kumbukumbu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Apo umeongea vitu viwili tofauti,ushindani Kati ya mwili na roho na karma,Kama Ni Kweli unahitaji msaada vi2 hivyo vinasumbua Sana,nlishawahi kuexperience vyote hivyo nikafanikiwa,now naweza hata kuvi handle hata Kama vikitokea Tena.
Punguza kula kitimotoNawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Uongo. Hito siyo maana ya karma mkuuKarma kwa maana rahisi ni kumbukumbu.
Nimeshindwa kabisa kukuelewa mkuu. Ni kumbukumbu za mambo kadhaa vinakutesa ama ni unapitia changamoto ambapo ulimtenda mtu ama watu na sasa unapokea malipo yake ama wamaanisha niniNaam....inanihukumu sana hii kitu.