Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii.
Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao.
Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu katika Mataifa ambayo hupambana/ huandamana kupigania haki zao kuliko watu katika Mataifa ambayo humuachia Mungu ashughulike na watawala waovu.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, na ni sauti hii ndio iliomuondoa Mwendazake pasipo watu kuandamana mabarabarani.
Tuombe uzima ni swala la muda tu kabla Karma haijachukua nafasi yake.