Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Moja ya mambo ambayo huwa siyapi nafasi, ni kuhangaika na safari za mwisho wa mwaka eti kwenda kula sikukuu.Bwashee naona salary ya December ulipishana nayo!
Tuliza munkari haikuwa lazima uende Marangu!
Dhambi 3 kwa kadiri ya maandiko, huzaa laana, na laana inakwenda mpaka kizazi cha nne. Dhambi hizo 3 ni:Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii.
Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao.
Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu katika Mataifa ambao huandamana kupigania haki zao kuliko watu katika Mataifa ambao humuachia Mungu ashughulike na watawala waovu.
Tuombe uzima ni swala la muda tu.
Wala si siku nyingiKwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii.
Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao.
Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu katika Mataifa ambao hupambana/ huandamana kupigania haki zao kuliko watu katika Mataifa ambao humuachia Mungu ashughulike na watawala waovu.
Tuombe uzima ni swala la muda tu kabla Karma haijachukua nafasi yake.
Asante sana.Umefanya kilicho ndani ya uwezo wako kwa kuwakumbusha haya, hivyo mwenye masikio na asikie.Dhambi 3 kwa kadiri ya maandiko, huzaa laana, na laana inakwenda mpaka kizazi cha nne. Dhambi hizo 3 ni:
1) Kuua
2) Dhuluma
3) Ulaghai
Ukiua, ujue umelaaniwa wewe mpaka kizazi chako cha 4. Haya ni yale mauaji ambayo Mungu hajayaidhinisha. Mungu huweza kuidhinisha mauaji kwa baadhi ya watu au makundi fulani.
Ukidhulumu mali, uhai au haki ya mtu, ujue umelaaniwa wewe mpaka kizazi chako cha 4.
Ukifanya ulaghai, ujue umetengeneza laana juu yako na kizazi chako.
Samia na wenzake, kwa kudhulumu haki ya Freeman, makomandoo, na wengine waliopo magerezani kwa maelekezo yao, hakika wamebeba laana itakayoenda mpaka kwenye vizazi vyao.
Ili kuiepuka laana hiyo, Samia na wenzake wanatakiwa kutubu, kufanya toba iliyo kuu ili kuupokea msamaha wa Mungu. Vinginevyo, amelaanika Samia na kizazi chake, pamoja na washirika wenzake katika uovu.
Mbowe ni gaidiKwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii.
Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao.
Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu katika Mataifa ambao hupambana/ huandamana kupigania haki zao kuliko watu katika Mataifa ambao humuachia Mungu ashughulike na watawala waovu.
Tuombe uzima ni swala la muda tu kabla Karma haijachukua nafasi yake.
Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii.