Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

Ikitokea mmoja wenu amekufa basi mzungumzieni kwa mazuri yake hata kama nimachache [emoji120]
 
Lissu kuwa hai inawauma Sana.
Tena watu wanaosubiria kifo cha Lisu, wanaweza kutangulia wao, na Lisu akashuhudia vifo vyao. Wanaosubiria Lisu adhalilike kwa maisha duni, wanaweza wao kuishia kujiuliza leo watakula nini au watatibiwa vipi, huku Lisu akisafiri kwenda kwenye matibabu na akipata mahitaji yake ya lazima, bila mahangaiko kama watakayokuwa nayo wao.

Siku zote watu wenye roho mbaya, wanaowaombea mabaya watu wengine, yale mabaya wayatarajiayo yawapate wanaowachukia, huwarudia wao zaidi ya mara 2.

Lisu amewahi kumteka mtu?
Lisu amewahi kuwaua watu?
Lisu amewahi kuwapora watu pesa zao?
Lisu amewahi kuwabambikia watu kesi?

Kinyume chake, amewahi kutunuliwa kwa risasi makumi, lakini Mungu mwenye huruma aliihifadhi roho yake, labda ili ashuhudie ukuu wa Mungu.

Yaani laana ikampate aliyenuiwa kuuawa halafu ikamwache aliyetaka kumwua?
 
Karma ya ukweli ni ile iliyomrudi yule mwovu aliyetaka kumuua Lissu matokeo yake kafa kibudu.
Wewe huwezi kumkubali Magufuli kwasababu alikataa ku support viazi.

Nyie wazee wa UROP mmekuwa mabalozi wa viazi ndio maana Magu amekuwa adui yetu infinity.
 
Reactions: nao
Wewe huwezi kumkubali Magufuli kwasababu alikataa ku support viazi.

Nyie wazee wa UROP mmekuwa mabalozi wa viazi ndio maana Magu amekuwa adui yetu infinity.
Hapo ulipo umekalia kitu kigumu chenye ncha butu
 

Sikusema kila anayesafiri anatangatanga
Nimesema Tundu anatangatanga
 
Mna
Je nisahihi kunyang'anya ushindi wa aliye hai aliye upigania

Nakumpa aliye kufa nawala hakuupigania?
 

Ukiacha chuki kidogo akili zako zinaweza kuona ukweli
 
JUWE ni mhusika MKUU kwanini utawala wake haukutaka kumtafuta muuaji kama hakuusika? Rais anakaa kimya Raia wake kapigwa Risasi inaingia kweli akilini ACHA KUTETEA UJINGA Hata kichaa anajua Jiwe ndie Muuaji
 
Sio lisu peke yake. Wako wengi ambao ile damu itawachapa. Hata yule bibi wa unguja na washirika wake wote. Haponi mtu. Ni jambo la wakati tu.
 
Kama ni kweli Our late beloved president Dr John Joseph Pombe Magufuri alihusika na shambulio la Mh Tundu Antipas Lissu basi selikali ya Dr Samia Suluhu Hassan ingewachukulia hatua washambuliaji kwa kuwafungulia mashitaka ya jinai mahakamani. Watanzania Ubongo wenu hamuushughulishi kufikiria ndiyo maana ni rahisi kwa Mtanzania kuwa brainwashed. Mabaya yoote ya Rais aliyepita yalisemwa mbona hili halisemwi? Wanasiasa wanatumia wigo wenu mdogo wa kufikiri na kisha kuwahadaa vile wanataka na matokeo huwa yaleyale waliyotarajia.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ila kama Jiwe angekuwa hahusiki kabisa na lile tukio wahusika wote wangedakwa siku ile ile ya tukio!.
Kwa mazingira tukio lilipotokea wasingeweza kutoroka hata mtu mmoja!.

Mbona mh lissu kaondoka tena hata baada ya kuhakikishiwa aman??
 

Mkuu wasiojulikana wangekuwa waovu namna hiyo nawewe ungeshakumbana nao.

Lakini sababu walitenda iliyo haki kwa hatma ya taifa ndio sababu unaona unaowahisi wapo tu wanadunda.
 
Rubbish.
 
Unapenda sana kuhukumu wenzako kwa neno hili "karma" lisilokauka mdomoni mwako kana kwamba wewe ni "exceptional" na ni mtakatifu, huna dhambi na kwamba karma haikuhusu..

Kwa tabia yako hii ya kinafiki na kutokuwa mkweli, basi tambua kuwa hata wewe "karma" is knocking your 🚪🚪🚪🚪🚪door unless uwe hujui maana ya neno lenyewe "karma" na matumizi yake ktk kusema na kuandika.!

Be warned, Be safe, Be smart and be truthful. Stop being hypocrite Mr Pascal Mayalla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…