Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

Karma is real imeanza na Lissu, amekuwa mtu wa kutangatanga, amekuwa mtumwa hayuko huru. Atubu kwa kumsingizia Hayati Magufuli mabaya. Mengi yatamkuta

Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
Lisu Mungu atamshuglikia mpaka akome ,atahaibika sana hapa duniani

USSR
 
Tayari Lissu ameanza kupoteza nuru ya kisiasa!

Tayari Lissu ameanza ukibaraka wake!

Safari hii hakuguswa na Polisi,walimuacha bila kumpa Promo!

Tayari umaarufu wa Lissu unapukutika kama ule wa
Dk Shika wa 900milioni!

Muda utaongea!

Wewe kumuongelea ndio umaurufu wenyewe.
 
Kufa ni faida mkuu, tena anayejua atakufa akafanya kazi zake akafa ana faida kubwa sana
Wewe utaishi milele mungu? 😃😃😃

Kifo Cha ibilisi Magufuli ilikuwa furaha.
 
Eleza Ni kivipi Lissu ameanza kutangatanga
Kwani wewe hauoni Sasa hivi kuwa Lisu hajulikani kama ni raia wa Tanzania au ni raia wa Ubeligiji

Pia haijulikani ofisi yake ya makamu mwenyekiti wa Chadema ipo Tanzania au ipo Ubeligiji

Pia haijulikani hi safari yake ya juzi anaenda Ubeligiji kufanya nini kutibiwa, kupewa hifadhi ya kisiasa au kuishi

Inshort Lisu anatanganga ana laana ya Magu na dokta Slaa
 
Weeee

Huwezi kumlinganisha Ibrahimu wala Yusufu au Musa na Tundu
Huwezi linganisha uzao Amaleki na wa Israel hata siku moja
Hakuna mahali ambapo nimemlinganisha Lisu na Musa, Ibrahimu au Yusuph au nabii au mtume yeyote wa Mungu. Na wala sitaweza kufanya hivyo. Hao, kwa watu wenye imani, wapo mbali mno na sisi waumini tulio wengi. Hao ni wateule WAKE waliojaliwa neema mbalimbali kwa hekima YAKE.

Nilichotaka kukuambia ni kuwa ni uwongo wa hali ya juu, na upotoshaji mkubwa, kuonesha kuwa kila anayesafiri, anayehamia ugenini au kukimbilia ugenini eti anatangatanga au eti amelaaniwa. Ni uwongo mkubwa. Kwa sababu wapo kama hao niliowataja, watumishi waaaminifu wa Mungu, walisafiri, walitoroka, na wengine kuhamia maeneo mapya tofauti na ya asili yao, hawakuwa wamelaaniwa, na kinyume chake ni kuwa walikuwa wateule wake MUNGU.

Tusipotoshe maandiko kwaajili ya kuyalinda maovu yetu. Tubishane kwa hoja zilIzo sahihi na zisizo sahihi, lakini tusimwingize MUNGU au mitume WAKE kulinda hoja zetu zenye dhamira ovu. Tukimtumia MUNGU au neno LAKE kulinda nia zetu ovu, tunafanya kufuru kubwa. MUNGU ni mtakatifu mno, kiasi cha kutostahili kuingizwa katika utetezi tunaoutengeneza wenye dhamira ya kuficha uovu.
 
Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.

Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu ulivyo kwa wanadamu tulioumbwa kwa mfano wa mwenyezi Mungu tumeumbiwa kusamehe saba Mara sabini kama alivyo Mungu wetu.

Pamoja na kwamba Magufuli alikuwa na uwezo wa kumfanya Lisu chochote wakati wowote yeye alikubali kusingiziwa kwani Rais Magufuli alijua kuwa Lisu hajui alitendalo na ndio maana alichagua kukaa kimya

Magufuli hakuwa mkali hakuwa dikteta ni mtu aliyependa watu wake kwa moyo wake wote aliwahurumia wajane, mahatma, wanyonge

Rais Magufuli aliwatetea waziwazi waliodhulumiwa walioonewa waliodharauliwa alikula na wasiojiweza hakika huyu baba alijawa na huruma na upendo wa Hali ya juu Sana

Tukirudi kwa Lisu na kundi lake la Chadema Maigizo mengi yenye dhihaka na ya uongo wamempakazia Magufuli kisa tu kuwadai kodi ya serikali ambayo siyo mali yao ikawa nongwa

Lissu aitishe Mkutano wa dharula aliombe msamaha Taifa la Tanzania, Familia ndugu na jamaa za Magufuli la sivyo yapo mengi magumu na mazito yatamwandama sana
We mleta mada ni hasara

Mleta mada ni hasara kubwa kwa taifa nahasra kwa ukoo na familia yenu.
 
Sio nataka kusema, ni karma!

Sio tusubiri, hicho tuu kilichomtokea nayo pia ni karma!, na angalizo la karma tuliwapa kitambo!. Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!". Uliwahi kusikia ni nini kilimpata mlinzi wa Dr. Slaa aitwae Kagenzi?. Unajua huyo Kagenzi alifanywa nini na ni nani aliyeongoza hiyo operesheni Kagenzi? Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

Ipo haja ya kuomba msamaha, ukifanya jambo ovu lolote, ukiomba msamaha, unakuwa umepunguza makali ya karma.
Na ukifanya maovu, kisha ukafanya mema mengi na makubwa kuliko ule uovu, ule uovu wote wa mwanzo unafutika na unabarikiwa, na ndio maana karma ya JPM took its toll kwa kifo chake na baada ya pale dhambi zake zote zilisamehewa na hivi sasa yuko peponi! Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Pascal unaenda mbali mno. Usiingilie kazi ya Mungu.

Huna uwezo wewe au mwingine yeyote awaye kusema au kujua kama mtu fulani yupo peponi au jehanamu.

Nayakumbuka maneno ya Papa Francis alipoulizwa juu ya Kanisa kuwatenga watu wapenzi wa jinsia moja, Papa alisema, "Ni nani mimi hata nimhukumu mwanadamu mwenzangu. Kazi ya Kanisa ni kuwaambia wanadamu ni mambo gani mema wanatakiwa kuyafanya, ni mambo gani ni ya dhambi, wayaache. Kazi ya kuhukumu ni ya Mungu peke yake".

Tafsiri pana ya kauli hii ni kwamba, kama wanadamu, hatuwezi kusema moja kwa moja eti mtu fulani yupo peponi au yupo jehanamu. Bali tunaweza kuyataja tu matendo mazuri au mabaya aliyoyafanya akiwa nasi. Baada ya kifo, hakuna ajuaye kwa uhakika nani yupo wapi, labda kuwepo ufunuo maalum au miujiza fulani iliyoambatana na kifo chake, ndipo watu husema kuwa kwa haya yaliyotokea, bila shaka huyu amepokelewa mbinguni.

Ufahamu kuwa tuyatendayo mbele ya macho ya wanadamu, ni machache sana kuliko yaliyomo nafsini mwetu. Ni Mungu pekee ndiye ayajuaye yote. Naye anahukumu kwa kuangalia yote.

Tusiingilie kazi tusiyo na mamlaka nayo ya kusema fulani yupo peponi au jehanamu. Mamlaka madogo ambayo Mungu ametupatia, yasituingize kwenye tamaa ya hata kuingilia mamlaka ya Mungu.
 
Utter Non sense - Kagame

Kama unampenda sana nenda kanywe nae chai - JK Nyerere

Kama unampenda sana kazikwe nae - Zitto

Mental illness is real - Master P.
Muda utaendelea kuudhibitisha upumbavu wenu.
 
Yaani JPM huko alipo sijui yupo katika hali gani...

Huku nyuma kaacha kambi mbili zinazotunishiana vifua hatari...

Anyway, kwa sababu kwa kauli yake alitamka kuwa "mtanikumbuka", labda huu ndio muendelezo wa kumbukumbu zake...
 
Kufa ni faida mkuu, tena anayejua atakufa akafanya kazi zake akafa ana faida kubwa sana
Wewe utaishi milele mungu? 😃😃😃

Kwa kuleta clip hii, unadhihirisha jinsi Magu alivyokuwa mnafiki, muongo wa kiwango cha juu na mbaguzi.

Anasema tusibaguane kwa makabila huku akiwavunjia nyumba walio kando ya Morogoro road na akiwaacha wale wa Mwanza akiwasifia kuwa wao wajenge hatawabomolea kwa kuwa walimpigia kura. Je huyu anasingiziwa au ni mbaguzi wa kiwango cha juu, acha karma imtafune huko aliko.
 
Back
Top Bottom