Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Bibie akikandia kuchanja covid kivyake vyake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo si hilo bro.Kwani ukichanjwa ndio hupati huo ugonjwa? uchanje au usichanje ikifika utaupata tu
Mkuu Uzuri ukichanjwa hata ukiupata haitakuwa na madhara makubwa kwako ukilinganisha kama ujachanjaKwani ukichanjwa ndio hupati huo ugonjwa? uchanje au usichanje ikifika utaupata tu
Sio kweli wapo waliochanja tena dozi mbili na bado wamekufa kwa coronaMkuu Uzuri ukichanjwa hata ukiupata haitakuwa na madhara makubwa kwako ukilinganisha kama ujachanja
Watz wengi sisi bado ni wajinga sana
Hapa kuna factors zingine mkuu.mfano kama umechanja ukiwa tayari una virusi vya corona inakiwaje?unafikiri itakuwa sana na aliyechanja akiwa clean?Sio kweli wapo waliochanja tena dozi mbili na bado wamekufa kwa corona
Inategemea tu kinga zako za mwili zipoje
Wachache sana tena wa kuhesabika. One in 100000Sio kweli wapo waliochanja tena dozi mbili na bado wamekufa kwa corona
Inategemea tu kinga zako za mwili zipoje
Sawa mkuuUjinga wako mwenyewe..watanzania sio wajinga
Mkuu mtu huwa hajijui na hajutii ujinga wake mpaka yamkute!Watu kama hawa Covid ukikamata maliza kazi tu maana wajinga sana niliona video yake anaongea ugoro tu