#COVID19 Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

Huu ugonjwa unasambazwa na waliochanja. Huu mtego tumeamua kuuingia wazimawazima.
"Kuna WATU wameenda kuchanjwa huko nje wametuletea corona mbaya zaidi"
Rest in power Magufuli
 
Hujalazimishwa kuchanja.

Kataa tu kuchanjwa. Si lazima.
 
Huu ugonjwa unasambazwa na waliochanja. Huu mtego tumeamua kuuingia wazimawazima.
"Kuna WATU wameenda kuchanjwa huko nje wametuletea corona mbaya zaidi"
Rest in power Magufuli
Halafu wakamwambukiza.
Rip JPM
 
Kwa logic yako ni kwamba hata hospitali hazina haja kuwepo kwani ni watu wengi tu wanapelekwa hospitali lakini bado wanakufa.

Jiangalie kama unafikiria vema.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuugua na kufa sio suala dogo kama linavyoongelewa baada ya kuanza ugonjwa wa Corona. Tusisingizie Corona kwa kila dhahma inayotokea.
Science imekuwepo miaka mingi sana na bado tunakufa na kuugua
 
Data za Marekani zinaonesha wanaokufa kwa Covid hivi karibuni 99.99% ni waliokataa chanjo.
Very true chanjo zinasaidia. Ila kufa kuko pale pale. Na kuna wakati kuugua kuko pale pale. Science imekuwepo na inaenda sambamba na kufa na kuugua kwetu.
Bottom line ni kuwa kuna wakati elimu inatakiwa iwe kubwa zaidi ili uelewa uongezeke. Sio kila mtu ana chance sawa ya kuelewa mambo
 
Kama chanjo ya Covid inazuia vifo kwa 99.99% ya waliochanja, maswali yako ya kuuliza kwani waliochanjwa hawatakufa ni ya kejeli zisizo na maarifa ya msingi.

Ni sawa na mtu aseme kuangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara kunapunguza sana ajali za watu kugongwa na magari wakivuka barabara, halafu wewe unauliza kwani wanaoangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara hawatakufa?

Kukejeli chanjo ndiyo elimu inayotakiwa?
 
Na wale msioikandia halafu mkapata chanjwa ikiwapata halafu mfe.
Tuta comment wapi?
 
Kama chanjo ya Covid inazuia vifo kwa 99.99% ya waliochanja, maswali yako ya kuuliza kwani waliochanjwa hawatakufa ni ya kejeli zisizo na maarifa ya msingi.

Ni sawa na mtu aseme kuangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara kunapunguza sana ajali za watu kugongwa na magari wakivuka barabara, halafu wewe unauliza kwani wanaoangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara hawatakufa?

Kukejeli chanjo ndiyo elimu inayotakiwa?
Science ipo na iyakuwepo. Magonjwa yapo na yataendelea kuwepo. Mnataka watu wote tuamini kitu kimoja kwani lazima? Tumekuwa robots? Hata robots ziko za iana tofauti tofati.
Halafu ole wako ufe maana ukifa dunia itasema umekufa na Covid. Kama watu hawajawahi kufa before
 
Hizi hoja ni tofauti kabisa na ulichoandika awali.

Kama unaendekeza ubishi baada ya kuelimishwa, unaruhusiwa kukataa chanjo. Unaruhusiwa kuvuka barabara huku umefumba macho.

It is your funeral.

We will be getting rid of one more fool and all his/her future descendants from that point on.
 
Mkuu kuna watu mpaka iwapate covid, na wakielekea kufa ndio wanajuta.
 
Kwani ukichanjwa ndio hupati huo ugonjwa? uchanje au usichanje ikifika utaupata tu
Kuna tofauti kubwa sana kati ya aliyechanjwa na asiyechanjwa

aliyechanjwa ni ngumu sana kufika mahututi
 
Back
Top Bottom