#COVID19 Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

Sio kweli wapo waliochanja tena dozi mbili na bado wamekufa kwa corona
Inategemea tu kinga zako za mwili zipoje
Hapa kuna factors zingine mkuu.mfano kama umechanja ukiwa tayari una virusi vya corona inakiwaje?unafikiri itakuwa sana na aliyechanja akiwa clean?
 
Watu kama hawa Covid ukikamata maliza kazi tu maana wajinga sana niliona video yake anaongea ugoro tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…