View attachment 1879034View attachment 1879035View attachment 1879036
Jamani tusicheze na uwezo wa Mungu.
Atupe hekima ya kukaa kimya
Nimesikiliza amekandia chanjo na sio cov 19 rekebisha heading au kama kuna video nyingne?
Huko kwenu vyumba bado vipo? Ninahitaji kimoja.Huyo dada anavyoongea...
Huku kitaani kwetu huwa kibaka hapigwi bali huitiwa wadada wanaoongea kama huyo, wanamsuuuta weeee kibaka hadi anaanza kulia na akiyoka hapo anaachana kabisa na udokozi
Kwani kalazwa kwa sababu ya chanjo hama ni kitu gani..?Tatizo si hilo bro.
Tstizo ni kukandia halafu unaugua baadaye ulichokandia
Ukichanja unaimarisha kinga mzee.Kwani ukichanjwa ndio hupati huo ugonjwa? uchanje au usichanje ikifika utaupata tu
Kwani ukichanjwa ndio hupati huo ugonjwa? uchanje au usichanje ikifika utaupata tu
Baada ya kuchanjwa ndio hawataugua tena?? Mbona tumeamua kuacha kufikiri? Kwani wanaokufa wote hawana chanjo?Tatizo si hilo bro.
Tstizo ni kukandia halafu unaugua baadaye ulichokandia
Kwa logic yako ni kwamba hata hospitali hazina haja kuwepo kwani ni watu wengi tu wanapelekwa hospitali lakini bado wanakufa.Baada ya kuchanjwa ndio hawataugua tena?? Mbona tumeamua kuacha kufikiri? Kwani wanaokufa wote hawana chanjo?
Ha ha ha !Kwa logic yako ni kwamba hata hospitali hazina haja kuwepo kwani ni watu wengi tu wanapelekwa hospitali lakini bado wanakufa.
Jiangalie kama unafikiria vema.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pole yake, wengine wajifunze
Hapa maadili ya kiutabibu yamekiukwa kwa kumpiga picha mgonjwa na kuzipost kwenye mitandao bila ridhaa yake. Mungu akimuweka hai anaweza baadaye kuanzisha kesi ya madaiView attachment 1879034View attachment 1879035View attachment 1879036
Jamani tusicheze na uwezo wa Mungu.
Atupe hekima ya kukaa kimya
Data za Marekani zinaonesha wanaokufa kwa Covid hivi karibuni 99.99% ni waliokataa chanjo.Baada ya kuchanjwa ndio hawataugua tena?? Mbona tumeamua kuacha kufikiri? Kwani wanaokufa wote hawana chanjo?
Akili ya mtu mweusi hioUchanje, usichanje utakufa tu! Siku za kuishi binadamu ni chache sana.
Uko sahihi kabisa mkuuData za Marekani zinaonesha wanaokufa kwa Covid hivi karibuni 99.99% ni waliokataa chanjo.