More contextUko sahihi kabisa mkuu
Sawa mtu mweupe, wewe hutakufa!Akili ya mtu mweusi hio
Hujalazimishwa kuchanja.Huu ugonjwa unasambazwa na waliochanja. Huu mtego tumeamua kuuingia wazimawazima.
"Kuna WATU wameenda kuchanjwa huko nje wametuletea corona mbaya zaidi"
Rest in power Magufuli
Halafu wakamwambukiza.Huu ugonjwa unasambazwa na waliochanja. Huu mtego tumeamua kuuingia wazimawazima.
"Kuna WATU wameenda kuchanjwa huko nje wametuletea corona mbaya zaidi"
Rest in power Magufuli
Aliyegundua kinga ya covid ni mmarekani mweusi, Proffessor mwanamke!Sawa mtu mweupe, wewe hutakufa!
Hili nalo pumbavu. Yaani wamarekani wawe wanagawa tu Viza kama yeye anavyogawa viza yake? Hii akili ya wapi?
Kuugua na kufa sio suala dogo kama linavyoongelewa baada ya kuanza ugonjwa wa Corona. Tusisingizie Corona kwa kila dhahma inayotokea.Kwa logic yako ni kwamba hata hospitali hazina haja kuwepo kwani ni watu wengi tu wanapelekwa hospitali lakini bado wanakufa.
Jiangalie kama unafikiria vema.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Very true chanjo zinasaidia. Ila kufa kuko pale pale. Na kuna wakati kuugua kuko pale pale. Science imekuwepo na inaenda sambamba na kufa na kuugua kwetu.Data za Marekani zinaonesha wanaokufa kwa Covid hivi karibuni 99.99% ni waliokataa chanjo.
Kama chanjo ya Covid inazuia vifo kwa 99.99% ya waliochanja, maswali yako ya kuuliza kwani waliochanjwa hawatakufa ni ya kejeli zisizo na maarifa ya msingi.Very true chanjo zinasaidia. Ila kufa kuko pale pale. Na kuna wakati kuugua kuko pale pale. Science imekuwepo na inaenda sambamba na kufa na kuugua kwetu.
Bottom line ni kuwa kuna wakati elimu inatakiwa iwe kubwa zaidi ili uelewa uongezeke. Sio kila mtu ana chance sawa ya kuelewa mambo
Utaanzisha wewe uzi uliojisheheni!Na wale msioikandia halafu mkapata chanjwa ikiwapata halafu mfe.
Tuta comment wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Utaanzisha wewe uzi uliojisheheni!
Na vimbwanga vingi!
Science ipo na iyakuwepo. Magonjwa yapo na yataendelea kuwepo. Mnataka watu wote tuamini kitu kimoja kwani lazima? Tumekuwa robots? Hata robots ziko za iana tofauti tofati.Kama chanjo ya Covid inazuia vifo kwa 99.99% ya waliochanja, maswali yako ya kuuliza kwani waliochanjwa hawatakufa ni ya kejeli zisizo na maarifa ya msingi.
Ni sawa na mtu aseme kuangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara kunapunguza sana ajali za watu kugongwa na magari wakivuka barabara, halafu wewe unauliza kwani wanaoangalia magari kulia na kushoto kabla ya kuvuka barabara hawatakufa?
Kukejeli chanjo ndiyo elimu inayotakiwa?
Hizi hoja ni tofauti kabisa na ulichoandika awali.Science ipo na iyakuwepo. Magonjwa yapo na yataendelea kuwepo. Mnataka watu wote tuamini kitu kimoja kwani lazima? Tumekuwa robots? Hata robots ziko za iana tofauti tofati.
Halafu ole wako ufe maana ukifa dunia itasema umekufa na Covid. Kama watu hawajawahi kufa before
iwe funzo kwa watu wenye tabia kama yakeView attachment 1879034View attachment 1879035View attachment 1879036
Jamani tusicheze na uwezo wa Mungu.
Atupe hekima ya kukaa kimya
Mkuu kuna watu mpaka iwapate covid, na wakielekea kufa ndio wanajuta.Hizi hoja ni tofauti kabisa na ulichoandika awali.
Kama unaendekeza ubishi baada ya kuelimishwa, unaruhusiwa kukataa chanjo. Unaruhusiwa kuvuka barabara huku umefumba macho.
It is your funeral.
We will be getting rid of one more fool and all his/her future descendants from that point on.
Wakielekea kufa wasijute.Mkuu kuna watu mpaka iwapate covid, na wakielekea kufa ndio wanajuta.
Huko kwenu vyumba bado vipo? Ninahitaji kimoja.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya aliyechanjwa na asiyechanjwaKwani ukichanjwa ndio hupati huo ugonjwa? uchanje au usichanje ikifika utaupata tu