#COVID19 Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

Halafu utakuta na wewe una ndugu wanakutegemea

Na chanjo zote za utotoni ulipata

smdh
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Halafu utakuta na wewe una ndugu wanakutegemea

Na chanjo zote za utotoni ulipata

smdh

Nani kasema nina shida na chanjo?Kwanini mnalazimisha sana sasa hivi? Kunani? Acha kila mtu afe kivyake. Najua wenye chanjo watakuwa mita 3 maana hawaambukizi wengine. Kina siye mita 6 zetu kama kawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…