escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Legacy sioKama vipi wanyonge wote tuandamane mpaka Chattle ili tukamlilie wote mtetezi wetu.
Tunako elekea mpaka IHEFU fc nayo italaumiwa sasa kwa kukaa kimya!!Kinachosikitisha,
Kwenye ishu Kama hizi zinazogusa wananchi moja kwa Moja.
Huwezi kuwasikia YANGA wakikemea ilo.
Sijajua Hii timu inayojiita Ni ya wananchi,
Inahusika na wananchi wa nchi gani[emoji3525]
Hela iliondoka serikalini, je itarudije? Ni tozo tu. Mwaka huu michadema itajificha wapiWewe ni mwongo mnafiki mzandiki na kizabizabina. Hakuna aliyefurahia kuwekwa ndani kwa dhuluma hao waliobambikiwa kesi za kodi.
Badala yake wapinzani na ma ccm wanafiki na wana ccm wapenda haki wote waliungana kumpongeza mama kwa kuwaondolea vifungo hao wafanyabiashara sambamba na kurejeshewa kodi zao.