Karma ya Paskali kazini: Walidhani Maadui zao ni Lissu na Chadema wakatumia hela nyingi kupambana nao. Kumbe adui wanae ndani

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kile kikundi kidogo cha dola ya CCM kilidhani adui yao ni Chadema na Lissu. Wakatoa hela nyingi kuhakikisha Chadema inaparanganyika ili ife. Wakamkamata Lissu na kumuweka gerezani. Wakatumia Mahakama ya hovyo kuzuia shughuli za Chadema.

Cha kushangaza, Mungu wetu sote. Kumbe adui wao halisi yupo ndani. Na sasa adui anapiga kweli kutokea ndani. Leo walilazimika kuzima mitandao yote na kufungia Internet ili press isiende hewani ila wapi, press imeenda hewani na watanzania wanaijadili leo siku nzima.

Matokeo yake hela za kuiua Chadema zimeliwa na Chadema haijafa. No Reforms No Election ndo imeshika hatamu.

Cha kufurahisha zaidi zimwi la ndani limeibuka na saivi linaenda kuwala.
 
Kile kikundi kidogo cha dola ya CCM kilidhani adui yao ni Chadema na Lissu. Wakatoa hela nyingi kuhakikisha Chadema inaparanganyika ili ife. Wakamkamata Lissu na kumuweka gerezani. Wakatumia Mahakama ya hovyo kuzuia shughuli za Chadema.

Cha kushangaza, Mungu wetu sote. Kumbe adui wao halisi yupo ndani. Na sasa adui anapiga kweli kutokea ndani. Leo walilazimika kuzima mitandao yote na kufungia Internet ili press isiende hewani ila wapi, press imeenda hewani na watanzania wanaijadili leo siku nzima.

Matokeo yake hela za kuiua Chadema zimeliwa na Chadema haijafa. No Reforms No Election ndo imeshika hatamu.

Cha kufurahisha zaidi zimwi la ndani limeibuka na saivi linaenda

Nyumba imepuliziwa upupu wanahangaika kweli.
 
Hata Rais JPM alidaganywa na wahuni kwamba maadui ni CDM kumbe joka la mdimu limo ndani ya chama cha Revolution.
 
Nimekuwa nikisema CCM ni Chama ambacho kwa namna ambavyo huwa kinashughulikia changamoto zake ni kama Kanisa katoliki,ndiyo maana kitadumu sana.
 
Back
Top Bottom