Wapo wengi wanaotembe uchi mkuu hujawahi kukutana nao?Umewaza kama mimi na mimi nilifika mbali nikasema binadamu ni kama tu wanyama wengine wanaopigana hovyo kugombani chakula au majike, n.k.
Sisi ni wanyama tu japo hatutembei uchi.
NikionA clip za wale watoto Liberia wanapiganishwa huwa hata sielew kama wanawaza nini kipindi hikoPia watu huingia katika majeshi kwakuwa wanakuwa hawana better option in life.
Ni ujinga MTU anaenda kuuliwa katika VITA kwa maslahi ya mwanasiasa.
Huo ni mradi wa watu the same Congo ,Sudan n.kNikionA clip za wale watoto Liberia wanapiganishwa huwa hata sielew kama wanawaza nini kipindi hiko
NikionA clip za wale watoto Liberia wanapiganishwa huwa hata sielew kama wanawaza nini kipindi hiko
Vita itaendelea kupiganwa tu hata miaka ijayo .Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini?
Kama ni kigezo cha dini kila nchi au taifa Lina utaratibu wake wa kuabudu katika mipaka yake bila kuingiliwa na taifa lingine vita zanini?
Vita zilikuwa enzi za ujima ambapo watu walikuwa wanatumia nguvu zaidi kuliko akili ni ajabu sana kuona mataifa bado yanaendekeza vita katika kutatua changamoto zinazohitaji akili ndogo tu
Mkuu ila hizo picha za kutengeneza5K reactions · 407 comments | Israel inapokea kwa mikono yake yote kile ilichofuata Iran. Follow @maelfu_services | Tajirim Hamadi Rajabu
Israel inapokea kwa mikono yake yote kile ilichofuata Iran. Follow @maelfu_serviceswww.facebook.com
Mataifa kama
Urusi
Ukraine
Israel
Lebanon
Syria
Iran
Palestine
Congo
Sudan
Na mengine ambayo sijayataja watu wake wameshindwa kutumia akili kutatua changamoto za kijamii hadi watumie vita kama mbadala?
Zama zilizojaa welevu na watu wenye IQ kubwa kama hizi bado hayo mataifa yanaendekeza ubabe wa vita katika changamoto ndogo zinazohitaji akili ndogo tu
Yes Ila binadamu 80% hawajafika Civilization stage na hawapo Enlightenment.Mkuu ila hizo picha za kutengeneza
Dunia imejaa watu wenye tamaa sana ya madaraka na mali.Huo ni ukosefu wa akili wanatumia akili za kigorila mwituni
Sisi ni wanyama tunaojipa umuhimu hata usio kuwa na maana mbele ya wanyama wengine ambao wala hawana mda na sisi wapo na hamsini zaoUmewaza kama mimi na mimi nilifika mbali nikasema binadamu ni kama tu wanyama wengine wanaopigana hovyo kugombani chakula au majike, n.k.
Sisi ni wanyama tu japo hatutembei uchi.
Vita ni nature ya watu mkuu, na huo ustaarabu unaousema ni wa kufikirika zaidi.Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini?
Kama ni kigezo cha dini kila nchi au taifa Lina utaratibu wake wa kuabudu katika mipaka yake bila kuingiliwa na taifa lingine vita zanini?
Vita zilikuwa enzi za ujima ambapo watu walikuwa wanatumia nguvu zaidi kuliko akili ni ajabu sana kuona mataifa bado yanaendekeza vita katika kutatua changamoto zinazohitaji akili ndogo tu
Binadamu ni wanyama hiyo Kama hapo iondoe tuUmewaza kama mimi na mimi nilifika mbali nikasema binadamu ni kama tu wanyama wengine wanaopigana hovyo kugombani chakula au majike, n.k.
Sisi ni wanyama tu japo hatutembei uchi.
Nilitarajia karne hii mataifa yajikite katika kukuza teknolojia zao katika kurahisisha maisha kwa watu waoKuna mataifa machache Sana watu hutumia akili .
Vita ni nature ya watu mkuu, na huo ustaarabu unaousema ni wa kufikirika zaidi.
Watu ni wanyama fulani waliojiwekea u special kwamba wao si wanyama kwa sababu wanajiona wanaweza kufanya mambo mengi tofauti na wanyama wengine, lakini kila tukijifanya wastaarabu na tuko tofauti, kuna matukio yanatukumbusha vinginevyo. Tunakumbushwa kuwa na sisi ni wanyama tu bado.