Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
- Thread starter
- #101
Nchi karibia zote Afrika na kwingineko zina mali, ndio iwe Somali, Congo na Rwanda? Ukiangalia vizuri utagundua ni ubabe na chokochoko za baadhi ya viongozi wajinga wanaodhani wanaweza kuwatala wengine pamoja na ujinga wa diniHapo kuna mali