Karne hii bado kuna nchi zinapigana vita?

Vita ni matumizi madogo ya akili let's say resources hazitoshi coz of migration only solution ni kudundana? Hakuna mbadala wa hilo?

Hitler alikuwa taahira mmoja hajawahi kutokea duniani, utawezaje kuwaua watu kwenye chemba eti upoteze kizazi sure? Ni kweli waliongezeka kwa kasi kipindi hicho hasa baada ya kufukuzwa makwao lakini si kweli kuwa walijazana hadi wenyeji wakakosa mkate ni chuki tu kwa Jews na aggression za majews pia

Not all man are cruel, ni baadhi ya mataahira yasiyokubali kustaarabika
Matsya Nyaya - The law of the Fishes.... ; Shukuru bado tuna plenty; unadhani Afrika na Ukame ukizidi watu watakufa kwa Kiu wakati Tanzania kuna Maziwa Matatu au watashuka huku tuyagawane ?

Ingawa bado we have plenty na tungeweza kupambana na mazingira yetu kwa manufaa ya binadamu wote kama species..., lakini fahamu kwamba vitu vikipungua animal instint will take over....

1750875936005.png
 
View attachment 3383065
Samaki hawana akili ndio maana wanakulana ni sawa na wanyama binadamu tumepewa akili ya kuchanganua mambo na kutatua changamoto baadhi wasiotumia akili zao vizuri ndio wanakuwa kama samaki

Mbadala wa kupungua kwa resources ni uvumbuzi wa resources zingine sio kudundana

Samaki hawezi kugundua chochote kutokana na mabaki yao wenyewe au materials zinazopatikana baharini wanapoishi ila binadam anaweza
 
Akili za kuazima hizo nawapenda China sana wapo busy na innovations tu
Wachina wako mbali sana yaani hata miji yao leo inaenda na wakati
Technology imetanda kila kona
Wanabuni kila leo na wanahakikisha vijana wanataka nini

Leo miji ya China ukilinganisha na ya States utaona utofauti mkubwa sana
Angalia Metro zao na za huko
Aisee mchina yuko busy kwenye maendeleo tu
 
Hao marekani ngoja waendelee na ujima wao wa mavita watajikuta wanashika mikia soon
 
Samaki hawana akili ndio maana wanakulana ni sawa na wanyama binadamu tumepewa akili ya kuchanganua mambo na kutatua changamoto baadhi wasiotumia akili zao vizuri ndio wanakuwa kama samaki
Binadamu hawakulani hata hao unaosema wana akili ? Survival of the fittest...; na fittest at any given time itategemea kama ni ulaghai, mabavu, ujanja, utapeli au hata kuzidiana kete...; Afrika imekuwa ikiliwa (marginalized) na resources zake kutumiwa..., Japan ilipigana sana sababu walikuwa hawana resources (mafuta) Iran waliingiliwa na Waingereza sababu ya mafuta na hata walivyotaka demokrasia UK na USA wakawaingilia 1953 na kupindua Serikali yao, vilevile kwa Congo na Lumumba...

Wewe ukipanda mahindi yako ili uweze kuvuna na kula kibaka anaweza akapitia (sasa wewe utamuacha sababu una akili au utampiga risasi)? Na je yeye anaiba sababu ni mvivu au wewe kabaila umechukua ardhi yote hivyo yeye kufa njaa ?
Mbadala wa kupungua kwa resources ni uvumbuzi wa resources zingine sio kudundana
Kudundana sio lazima kushikiana risasi hata utapeli na kuwafanya wengine watumwa ni kudundana (watu ni wachoyo hawataki kugawana) Mfano unadhani tukiamua kufunga ziwa victoria huku kutoa Uganda ili Misri akose maji Nile sababu sisi tunataka kutumia hayo maji kumwagilizia kila kona atakuachia ili yeye afe au atatumia njia yoyote ile ku justify kukuvamia ?

Kwa bahati nature always takes care of itself watu wakizidi population (kuliko resourses) chakula basi wengine watakufa (naturally au kwa kuuwana) mapaka ipatikane equilibrium...
Samaki hawezi kugundua chochote kutokana na mabaki yao wenyewe au materials zinazopatikana baharini wanapoishi ila binadam anaweza
Unadhani UK na kile kisiwa chake na resources chache kwanini alitafuta mbinu za kuzunguka dunia nzima ili kuchukua mali for her wealthy, vilevile sehemu kama Belgium ? Jibu ndio hilo kwenye Bahari lao kulikuwa hakuna zaidi (kutokana na njaa yao, tamaa na ubinafsi) hadi wakaamua kwenda kuwala wengine; Na wengine je wangenyoosha mikono na kusurrender au wangejiokoa ?

Au unadhani bila industrial revolution utumwa ungeisha ?
 
Binadamu hawakulani hata hao unaosema wana akili ? Survival of the fittest...; na fittest at any given time itategemea kama ni ulaghai, mabavu, ujanja, utapeli au hata kuzidiana kete...; Afrika imekuwa ikiliwa (marginalized) na resources zake kutumiwa..., Japan ilipigana sana sababu walikuwa hawana resources (mafuta) Iran waliingiliwa na Waingereza sababu ya mafuta na hata walivyotaka demokrasia UK na USA wakawaingilia 1953 na kupindua Serikali yao, vilevile kwa Congo na Lumumba...

Wewe ukipanda mahindi yako ili uweze kuvuna na kula kibaka anaweza akapitia (sasa wewe utamuacha sababu una akili au utampiga risasi)? Na je yeye anaiba sababu ni mvivu au wewe kabaila umechukua ardhi yote hivyo yeye kufa njaa ?

Kudundana sio lazima kushikiana risasi hata utapeli na kuwafanya wengine watumwa ni kudundana (watu ni wachoyo hawataki kugawana) Mfano unadhani tukiamua kufunga ziwa victoria huku kutoa Uganda ili Misri akose maji Nile sababu sisi tunataka kutumia hayo maji kumwagilizia kila kona atakuachia ili yeye afe au atatumia njia yoyote ile ku justify kukuvamia ?

Kwa bahati nature always takes care of itself watu wakizidi population (kuliko resourses) chakula basi wengine watakufa (naturally au kwa kuuwana) mapaka ipatikane equilibrium...

Unadhani UK na kile kisiwa chake na resources chache kwanini alitafuta mbinu za kuzunguka dunia nzima ili kuchukua mali for her wealthy, vilevile sehemu kama Belgium ? Jibu ndio hilo kwenye Bahari lao kulikuwa hakuna zaidi (kutokana na njaa yao, tamaa na ubinafsi) hadi wakaamua kwenda kuwala wengine; Na wengine je wangenyoosha mikono na kusurrender au wangejiokoa ?

Au unadhani bila industrial revolution utumwa ungeisha ?
Mkuu hoja zako napata tabu kuzielewa direct, wataka niambia wanaopigana wapo sahihi eti kwa sababu resources katika nchi zao hazitoshi au unamaanisha nini?

Kwa nionavyo mimi, ukiacha na zama za giza katika karne ya 18 kurudi nyuma zama hizi vita hazina maana zaidi ya ubabe usio na tija

Yani marekani katika kivuli cha Israel na Ukraine hawajulikani wanataka nini kupigana dhidi ya Mrusi na Palestine maana kama ni kwa ajili ya resource gain anachokipoteza ni kikubwa ( mabilion ya pesa) kuliko anachokipata kutoka kwa hizo nchi anazosapoti

Je anataka arudishe ukoloni ama nini? Je katika zama hizi inawezekana?

Sorry nashindwa kujibu hoja zako zote kwani point hasa unayolenga bado sijaijua
 
Nani ameongelea Usahihi ? Mimi naongelea uhalisia duniani hapajawahi kuwa na Haki na tangia mwanzo kumekuwa ukandamizaji (law of the fishes / survival of the fittest) kwahio achana na nchi hata mtaani kama wewe una kingi wengine hawana basi watachukua chako...

Ndio maana ili kuendelea na kufurahia civilization inabidi kugawana sawa kilichopo au kwa walamba asali (wanyonyaji) kufahamu kula na vipofu ili waweze kukubaliana na kwamba kunyonywa kwao ni sawa na wapo pale ili kunyonywa (hio ndio ilikuwa mifumo ya ufalme; utumwa au utawala) kwamba wachache wamechaguliwa kuwa mabwana na wengine watwana; Kwahio mpaka either watu wakubaliane na kunyonywa kwa kutokujua AU Watu waishi kwa Usawa na Haki bila hivyo itakuwa WAR; kama alivyosema Bob Marley kwa ku qoute speech ya Haile Sellasie;
Until the philosophy which hold one race
Superior and another Inferior
Is finally
And permanently
Discredited
And abandoned
Everywhere is war
Me say war​

View: https://youtu.be/1Hrglx9PCpo?si=q25yXeKx_rOA3DWV

Kwa dakika hii ambayo dunia ina plenty for everyone needs and not greed that is possible kutokuwa na Vita lakini sababu kuna watu wana Greed basi tutegemee vita hususan huko tunapoelekea resources kupungua, kumbuka mara nyingi vita vingi ni proxy (wanaofadhili na wanaopigana ni wengine) hence vita ni biashara za wengine wanaonufaika (Greed)

Una uhakika USA na hayo Makampuni ya Silaha ambayo yapo pale for Profit yanapoteza ? Kumbuka ukigusa maslahi yao au Ikija Serikali ambayo inabishana na walio on power kwa wakati huo au lobbysists wanachonganisha wengine ili wao wapate wanachokijua wao; Pili kumbuka Vita vingi vya hapo nyuma vilikuwa Hofu na USA na Russia kwamba nani asigain power kuliko mwenzake (NATO ilianzishwa ili kumuhimili USSR sasa Ukraine kutaka kujiunga NATO unategemea Russia angefanya nini ?) ni kama Russia atake kuweka Military base pale kwa rafikia yake Cuba unadhani USA atafanya nini ?

Unadhani Neocolonialism / Imperialism imekwisha au iliwahi kuisha ? Ndio hio inaendelea tofauti tu ni kwamba sasa hivi Trump hajui kula na vipofu anafanya mambo (anawagusa mkono wakati wa kula) ndio maana hii backlash kubwa ila USA amekuwa akifanya haya ambayo Trump anafanya waziwazi ila kwa SIRI....
 
Unadhani Neocolonialism / Imperialism imekwisha au iliwahi kuisha ? Ndio hio inaendelea tofauti tu ni kwamba sasa hivi Trump hajui kula na vipofu anafanya mambo (anawagusa mkono wakati wa kula) ndio maana hii backlash kubwa ila USA amekuwa akifanya haya ambayo Trump anafanya waziwazi ila kwa SIRI...
Nani ameongelea Usahihi ? Mimi naongelea uhalisia duniani hapajawahi kuwa na Haki na tangia mwanzo kumekuwa ukandamizaji (law of the fishes / survival of the fittest) kwahio achana na nchi hata mtaani kama wewe una kingi wengine hawana basi watachukua chako...

Ndio maana ili kuendelea na kufurahia civilization inabidi kugawana sawa kilichopo au kwa walamba asali (wanyonyaji) kufahamu kula na vipofu ili waweze kukubaliana na kwamba kunyonywa kwao ni sawa na wapo pale ili kunyonywa (hio ndio ilikuwa mifumo ya ufalme; utumwa au utawala) kwamba wachache wamechaguliwa kuwa mabwana na wengine watwana; Kwahio mpaka either watu wakubaliane na kunyonywa kwa kutokujua AU Watu waishi kwa Usawa na Haki bila hivyo itakuwa WAR; kama alivyosema Bob Marley kwa ku qoute speech ya Haile Sellasie;
Until the philosophy which hold one race
Superior and another Inferior
Is finally
And permanently
Discredited
And abandoned
Everywhere is war
Me say war​

View: https://youtu.be/1Hrglx9PCpo?si=q25yXeKx_rOA3DWV

Kwa dakika hii ambayo dunia ina plenty for everyone needs and not greed that is possible kutokuwa na Vita lakini sababu kuna watu wana Greed basi tutegemee vita hususan huko tunapoelekea resources kupungua, kumbuka mara nyingi vita vingi ni proxy (wanaofadhili na wanaopigana ni wengine) hence vita ni biashara za wengine wanaonufaika (Greed)

Una uhakika USA na hayo Makampuni ya Silaha ambayo yapo pale for Profit yanapoteza ? Kumbuka ukigusa maslahi yao au Ikija Serikali ambayo inabishana na walio on power kwa wakati huo au lobbysists wanachonganisha wengine ili wao wapate wanachokijua wao; Pili kumbuka Vita vingi vya hapo nyuma vilikuwa Hofu na USA na Russia kwamba nani asigain power kuliko mwenzake (NATO ilianzishwa ili kumuhimili USSR sasa Ukraine kutaka kujiunga NATO unategemea Russia angefanya nini ?) ni kama Russia atake kuweka Military base pale kwa rafikia yake Cuba unadhani USA atafanya nini ?

Unadhani Neocolonialism / Imperialism imekwisha au iliwahi kuisha ? Ndio hio inaendelea tofauti tu ni kwamba sasa hivi Trump hajui kula na vipofu anafanya mambo (anawagusa mkono wakati wa kula) ndio maana hii backlash kubwa ila USA amekuwa akifanya haya ambayo Trump anafanya waziwazi ila kwa SIRI....

1. Nakubaliana nawewe kuwa as long as binadam ana exit kwenye huu ulimwengu ubinafsi hautaisha maana kuna watu huwa wanapenda wamiliki kila kitu na wengine wakose vyote wenyewe wanafurahi ( huo ni ukosefu wa akili mwenye akili hawezi fanya huo ujinga)

Hivyo kama watu wataruhusu kutumia akili zao sawasawa wataacha ubinafsi na kuheshimu haki za wengine ili kuondoa Vita isitokee case study ni cdm vs ccm

2. Kwa USA Vita anazosapoti hana faida nazo directly zaidi ya sifa na majigambo kwa dunia. Budget anayotumia kutengeneza silaha ni mabilion ambayo nchi kama Israel na Ukraine hawana uchumi wa kutoshereza kukava the loss, juzi tu ulimsikia akimwambia zelesky awe na shukran

3. Hizo habari za USSR VS NATO ndio ujima wenyewe ninaoungelea ambao kwa zama hizi umepitwa na wakati. Hizo zilikuwa enzi za expansionism ambapo ubabe na ubutu wa fikra ulikuwa mkubwa. Katika zama hizi ubabe unaohitajika ni wa kiuchumi na teknolojia sio Vita vya kuuana

4. Ukoloni mambo Leo ni wa kifikra hauna madhara tofauti na ukoloni wa kijografia. Kuingia katika mipaka ya mwenzio kuanzisha Vita sio dhumuni la ukoloni mambo leo, ukoloni mambo leo umejikita katika teknolojia na uchumi ambapo nchi yenye uchumi mkubwa inazitawala nchi zenye uchumi mdogo kifikra

Vita hii ya kiuchumi ni nzuri haina madhara sawa na Vita ya majeshi na silaha. Tunaweza kuishi na ukoloni mambo Leo bila Vita ila hatuwezi kuishi na ukoloni wa kijografia lazima tupigane kutetea ardhi yetu, yashatokea na zama zishapita ni wajinga tu wanaturudisha huko bila kutumia akili
 
Huwezi kupigana vita kama ni maskini na huna cha kugombania.
Congo, Somalia, Sudani, Rwanda ni miongoni mwa vinchi maskini Africa lakini kila uchwao ni kudundana tu

Vita ni matumizi madogo ya akili, chukulia polisi wa nchi za ulimwengu wa sita wanavyojibu hoja kwa kutumia virungu na bunduki utaniunga mkono ninachozungumza
 
1. Nakubaliana nawewe kuwa as long as binadam ana exit kwenye huu ulimwengu ubinafsi hautaisha maana kuna watu huwa wanapenda wamiliki kila kitu na wengine wakose vyote wenyewe wanafurahi ( huo ni ukosefu wa akili mwenye akili hawezi fanya huo ujinga)
Kwahio mwenye mjinga akimfanyia mwenye so called akili mwenye akili atafanya nini ? Kumpa Elimu, Kukimbia au kufanya nini Na umeongelea kama kuna plenty je kama kilichopo hakitoshi unadhani nini kitatokea ? Kijiji chenu kuna wakulima na wafugaji, ardhi haitoshi wafugaji wanalisha malisho ya mashamba yenu unadhani nini kitatokea ?

Hapa najaribu kukupa scenarios na kukuelewesha kwamba life sio black or white kuna a lot of grey areas...; Pili kama wewe na rafiki yako mnagombania mwanamwali mmoja matata je mtamgawana au wewe ukisafiri ukakuta mwenzako amekusaliti mtaanza bifu la maisha ?
Hivyo kama watu wataruhusu kutumia akili zao sawasawa wataacha ubinafsi na kuheshimu haki za wengine ili kuondoa Vita isitokee case study ni cdm vs ccm
Haki yenyewe ya sheria zilizopo ambazo ni mwenye nguvu ndio anatunga ni debatable sababu hata hizo sheria zilizopo sio just na naweza nikaenda a step further nikakwambia hata hivi Vyama ambavyo ni platforms za watu kupata Kura kwenda Kula azimtendei haki mlipa Kodi na mwisho wa siku yamekuwa maigizo yenye gharama ya watu kubadilishana zamu ya kutafuta rasilimali za watu
2. Kwa USA Vita anazosapoti hana faida nazo directly zaidi ya sifa na majigambo kwa dunia. Budget anayotumia kutengeneza silaha ni mabilion ambayo nchi kama Israel na Ukraine hawana uchumi wa kutoshereza kukava the loss, juzi tu ulimsikia akimwambia zelesky awe na shukran
Unashindwa kuelewa hizo Silaha utengenezwaji wake kuna watu wanafaidika na ndio hao wana lobbyist wa kuhakikisha nani anaingia madarakani na mwisho wa siku wewe kama kiongozi ukiwazibia pesa basi uongozi wako upo matatani, its all business na watu wanafaidika; bila Mkataba wa Silaha wa Saudia na UK under BAE Serikali ya Margaret Thatcher ilikuwa inapumulia mashine..., ile it was one of the biggest business ambayo UK ilifaidika maradufu
3. Hizo habari za USSR VS NATO ndio ujima wenyewe ninaoungelea ambao kwa zama hizi umepitwa na wakati. Hizo zilikuwa enzi za expansionism ambapo ubabe na ubutu wa fikra ulikuwa mkubwa. Katika zama hizi ubabe unaohitajika ni wa kiuchumi na teknolojia sio Vita vya kuuana
NATO imeanzishwa kumudhibiti USSR ambayo naweza kusema mabaki yake ni Russia ya leo jirani kabisa wa Russia anataka kujiunga NATO ambayo inajumuisha mpinzani wa Russia katiak huo uchumi na teknolojia, unadhani nini kitatokea ?
4. Ukoloni mambo Leo ni wa kifikra hauna madhara tofauti na ukoloni wa kijografia. Kuingia katika mipaka ya mwenzio kuanzisha Vita sio dhumuni la ukoloni mambo leo, ukoloni mambo leo umejikita katika teknolojia na uchumi ambapo nchi yenye uchumi mkubwa inazitawala nchi zenye uchumi mdogo kifikra
Unaongelea kifikra ? Unadhani kuwekewa sanctions na kuchezewa faulo kila unavyokwenda wao wasivyotaka hakuna madhara ? Kupigwa propaganda na kuwekeza masharti na kina IMF cha kufanya unaona hakuna madhara
Vita hii ya kiuchumi ni nzuri haina madhara sawa na Vita ya majeshi na silaha. Tunaweza kuishi na ukoloni mambo Leo bila Vita ila hatuwezi kuishi na ukoloni wa kijografia lazima tupigane kutetea ardhi yetu, yashatokea na zama zishapita ni wajinga tu wanaturudisha huko bila kutumia akili
Unadhani kusingekuwa na Maliasili Congo nchi kibao zisingekuwa pale zinavuna kwenye shamba la bibi na kuhakikisha wana vibaraka madarakani ? Ndio hapo utagundua kuna uhusiano baina ya uchumi (kupata kitu) na VITA kugombania kitu... (diplomasia / ujanja ukishindikana wanatumia mabavu ya kumsaidia adui yako
 
Congo, Somalia, Sudani, Rwanda ni miongoni mwa vinchi maskini Africa lakini kila uchwao ni kudundana tu

Vita ni matumizi madogo ya akili, chukulia polisi wa nchi za ulimwengu wa sita wanavyojibu hoja kwa kutumia virungu na bunduki utaniunga mkono ninachozungumza
Hapo kuna mali
 
Wanajeshi wetu JW ni kama walisoma hii siredi yako na kuona huu ujinga wa kufa kwa pilika za Kagame na Seshekedi ni uzwazwa, wakaamua kujiongeza na kupandishwa vi coaster vya Kagame kurudishwa bongo tupambane nao humu JF kwa malumbano.....
 
Mataifa kama

Urusi
Ukraine
Israel
Lebanon
Syria
Iran
Palestine
Congo
Sudan

Na mengine ambayo sijayataja watu wake wameshindwa kutumia akili kutatua changamoto za kijamii hadi watumie vita kama mbadala?

Zama zilizojaa welevu na watu wenye IQ kubwa kama hizi bado hayo mataifa yanaendekeza ubabe wa vita katika changamoto ndogo zinazohitaji akili ndogo tu
Umeianza hoja kwenye msingi potofu, vita zinapiganwa kwa maslahi ya taifa. Ambayo kimsingi hayana tafsiri moja na yana badilika kila wakati. Vita tutakuwa nazo siku zote haijalishi zama gani.
 
Kwahio mwenye mjinga akimfanyia mwenye so called akili mwenye akili atafanya nini ? Kumpa Elimu, Kukimbia au kufanya nini Na umeongelea kama kuna plenty je kama kilichopo hakitoshi unadhani nini kitatokea ? Kijiji chenu kuna wakulima na wafugaji, ardhi haitoshi wafugaji wanalisha malisho ya mashamba yenu unadhani nini kitatokea ?

Hapa najaribu kukupa scenarios na kukuelewesha kwamba life sio black or white kuna a lot of grey areas...; Pili kama wewe na rafiki yako mnagombania mwanamwali mmoja matata je mtamgawana au wewe ukisafiri ukakuta mwenzako amekusaliti mtaanza bifu la maisha ?

Haki yenyewe ya sheria zilizopo ambazo ni mwenye nguvu ndio anatunga ni debatable sababu hata hizo sheria zilizopo sio just na naweza nikaenda a step further nikakwambia hata hivi Vyama ambavyo ni platforms za watu kupata Kura kwenda Kula azimtendei haki mlipa Kodi na mwisho wa siku yamekuwa maigizo yenye gharama ya watu kubadilishana zamu ya kutafuta rasilimali za watu

Unashindwa kuelewa hizo Silaha utengenezwaji wake kuna watu wanafaidika na ndio hao wana lobbyist wa kuhakikisha nani anaingia madarakani na mwisho wa siku wewe kama kiongozi ukiwazibia pesa basi uongozi wako upo matatani, its all business na watu wanafaidika; bila Mkataba wa Silaha wa Saudia na UK under BAE Serikali ya Margaret Thatcher ilikuwa inapumulia mashine..., ile it was one of the biggest business ambayo UK ilifaidika maradufu

NATO imeanzishwa kumudhibiti USSR ambayo naweza kusema mabaki yake ni Russia ya leo jirani kabisa wa Russia anataka kujiunga NATO ambayo inajumuisha mpinzani wa Russia katiak huo uchumi na teknolojia, unadhani nini kitatokea ?

Unaongelea kifikra ? Unadhani kuwekewa sanctions na kuchezewa faulo kila unavyokwenda wao wasivyotaka hakuna madhara ? Kupigwa propaganda na kuwekeza masharti na kina IMF cha kufanya unaona hakuna madhara

Unadhani kusingekuwa na Maliasili Congo nchi kibao zisingekuwa pale zinavuna kwenye shamba la bibi na kuhakikisha wana vibaraka madarakani ? Ndio hapo utagundua kuna uhusiano baina ya uchumi (kupata kitu) na VITA kugombania kitu... (diplomasia / ujanja ukishindikana wanatumia mabavu ya kumsaidia adui yako
Hoja zako sipingi hata moja na hizo sababu ulizoweka ukijumlisha na udini ndio sababu kuu za Vita nyingi duniani na zinazoendelea sasa

Mimi hoja yangu ni kuwa hao wanaoyatenda hayo(kuwakandamiza au kuwatawala wengine either kifikra au kimipaka) wana akili za kijima ambazo kwa zama hizi walitakiwa kubadilika mbona China na Iran hawafanyi hizo neo colonialism wala cold war kwa mataifa mengine na bado uchumi wao unakua?

Most of war in the world caused by idiotism of ideology

Most of the war mongers are aggressive and idiot

Sio kuwa resources hazitoshi nchini mwao ila ni ubabe usio na maana kiufupi wanatumia akili ndogo sana
 
Wanajeshi wetu JW ni kama walisoma hii siredi yako na kuona huu ujinga wa kufa kwa pilika za Kagame na Seshekedi ni uzwazwa, wakaamua kujiongeza na kupandishwa vi coaster vya Kagame kurudishwa bongo tupambane nao humu JF kwa malumbano.....
Kupigana ni matumizi madogo ya akili ukitumia akili vizuri utaona hamna haja ya Vita

Na hii ni kwa pande zote wanaoonewa na wanaoonea wengine

Katika hayo makundi mawili wajinga zaidi ni wanaoonea wenzie, kumnyima mwenzio haki zake ni upungufu wa akili inashangaza hadi zama hizi bado tuna aina ya watu kama akina Hitler na Mobutu
 
Umeianza hoja kwenye msingi potofu, vita zinapiganwa kwa maslahi ya taifa. Ambayo kimsingi hayana tafsiri moja na yana badilika kila wakati. Vita tutakuwa nazo siku zote haijalishi zama gani.
Tuchukulie wewe hapo kipi kitakusababisha uingie vitani?

Dini
Siasa
Ubabe
 
Wachina wako mbali sana yaani hata miji yao leo inaenda na wakati
Technology imetanda kila kona
Wanabuni kila leo na wanahakikisha vijana wanataka nini

Leo miji ya China ukilinganisha na ya States utaona utofauti mkubwa sana
Angalia Metro zao na za huko
Aisee mchina yuko busy kwenye maendeleo tu
Halafu wametulia wala hawana mambo za kusababisha vita kwa wengine, ukiona China anatoa matamko ya kivita ni external forces yaani kachokozwa ila huwa haanzishagi vita na kuleta chokochoko

Kwangu mimi China nawaona kama jamii yenye watu wenye akili duniani

They are most brave and humble
 
Back
Top Bottom